21
Kikongwe zaidi duniani apoteza maisha
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
21
Selena Gomez achumbiwa na Blanco
Picha za mwanamuziki na mwigizaji wa Marekani Selena Gomez zimezua maswali kwa mashabiki wakiuliza kama msanii huyo amechumbiwa na mpenzi wake Benny Blanco.Maswali hayo yameku...
21
Ndoa ya Lopez yapumulia mipira
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez, ameripotiwa kufungua shauri la kudai talaka kwa mumewe, Ben Affleck.Kwa mujibu wa TMZ, Lopez amewasilisha shauri hilo mah...
20
JB atoa sababu za kurudia wahusika kwenye filamu
Licha ya kuwa nchini wameendelea kuibuka waigizaji wengi chipukizi, lakini baadhi ya waandaaji wa filamu wanaonekana kurudia wasanii katika kazi zao, jambo ambalo limekuwa lik...
20
Mike Tyson aahidi kumkimbiza Paul kama mwizi
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka Marekani Mike Tyson ameweka wazi kuwa sasa yupo tayari kwa pambano lake na Jake Paul linalotarajia kufanyika Novemba 15, 2024 kwenye Uwanja w...
20
Charlie Chaplin mkali wa kuchekesho bila kutumia maneno
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ulimwengu unaendelea kufurahia kazi za Charlie Chaplin, msanii maarufu wa vichekesho aliyezaliwa Aprili 16, 1889 London, Uingereza, alijuli...
20
Trump atumia picha ya Taylor kuomba kura
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
20
Diddy mbioni kufunguliwa kesi ya jinai
‘Rapa’ Sean “Diddy” Combs huenda akafunguliwa kesi ya jinai na mwanadada Adria English. Kwa mujibu wa timu ya wanasheria wa mwanadada huyo imedai kuwa ...
20
Mwanahawa Ally rasmi kuacha muziki, maradhi yatajwa
Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa  na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
19
Ulipo uhusiano wa filamu na muziki
Ni kawaida kukutana na filamu ambayo wahusika wake hawaongei kabisa bali wanatumia vitendo kufikisha ujumbe, lakini ni ngumu kukutana na filamu ambayo haina muziki wala mdundo...
19
Mastaa wacharuka wadai haki ya binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa
Mastaa wacharuka baada ya aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya kusema uchunguzi wa Jeshi la Polisi umebain...
17
Jason Derulo aendelea kuitangaza Komasava
Wakati akiwa kwenye ziara yake ya ‘Nu King’ iliyofanyika nchini Ujerumani, mwanamuziki Jason Derulo ameendelea kuutangaza wimbo wa ‘Komasava’ kwa kuutu...
17
Jiongeze: Ali Kamwe na ufalme wa Jangwani
Kwa sasa inajulikana yupi ni yupi pale Jangwani. Nenda kwenye kurasa zao mitandaoni, tazama ‘intaraksheni’ ya mashabiki wa timu yao. Kuna namna Kamwe anacheza na a...
17
Namungo, Fountain Gate wapigwa kalenda Ligi Kuu
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa ligi baina ya Namungo FC na Fountain Gate FC uliokuwa uchezwe leo katika Uwanja wa Majaliwa Lindi.Taarifa iliy...

Latest Post