Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Dar es Salaam Young Africans Sports kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Mag...
Tamasha kubwa la muziki wa Rege (Reggae) Zanzibar msimu wa Sita linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia leo usiku Agosti 9-10, 2024, Mambo Club ndani ya Ngome Kongwe, Un...
Rapa Yung Miami ambaye pia ni mpenzi wa zamani wa Diddy amedai kuwa wakati yupo na Combs hakuwahi kufanyiwa ukatili wowote.Yung ameyasema hayo baada ya kuwa na mijadala mingi ...
Baada ya kuzuka tetesi kuwa mwanamitindo Chidimma Adetshina (23) anayeshiriki ‘Miss Afrika Kusini’ kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria...
Mwanamuziki Kanye West amefunguka kuwa wakati anatoa kauli za chuki dhidi ya Wayahudi alikuwa amelewa.Kanye ameyasema hayo alipokuwa kwenye mahojiano na mwanadada Candace Owen...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria, Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ kuweka wazi kuwa kundi la P-Square limesambaratika kwa mara nyingine, kwa upande wa Peter Okoye, &l...
Matamasha matatu ya mwanamuziki Taylor Swift yaliyopangwa kufanyika nchini Austria yamesitishwa kufuatia shambulio la kigaidi lililopangwa kufanyika jijini Vienna.Tishio hilo ...
Baada ya kutamba kwa zaidi ya miaka 10 ya ma-DJ wa kutafsiri filamu za kigeni na kulitikisa soko kwa aina yake, sasa baadhi yao wanakili kuwa soko la uuzwaji wa filamu hizo li...
Katika enzi hizi za kidijitali ambazo mitandao ya kijamii na majukwaa ya video yanachangia kwa kiasi kuburudisha jamii na kufurahia muziki, wimbo wa watoto "Baby Shark Dance" ...
Connie Chiume, mwigizaji mkongwe wa Afrika Kusini ambaye alionekana katika filamu ya Marvel Black Panther, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.Taarifa ya kifo chake ilit...
Wimbo wa Diamond Platnumz unaotamba hivi sasa uitwao Komasava, umeingia kwenye chati maarufu za muziki nchini Marekani ziitwazo USA Billboard na kuweka rekodi.Komasava umeingi...
Wakati wa Tamasha la Simba Day lililofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 3, mwaka huu likiwa ni maalumu kwa utambulisho wa nyota mpya wa kikosi hicho pamoja na mtoko mpya ...