30
Arnold Schwarzenegger aendelea kula chumvi
Tarehe kama ya leo Julai 30, 1947 alizaliwa mwigizaji mkongwe kutoka Marekani, Arnold Schwarzenegger ambaye sasa ametimiza miaka 77.Mkali huyo wa Filamu ya ‘Terminator&r...
30
Maisha yanavyowabadilisha wasanii
Licha ya kuwa katika ulimwengu wa burudani, umaarufu na mafanikio mara nyingi hutafsiriwa kama kipimo cha furaha kwa wasanii, lakini wapo baadhi ambao wamekuwa wakiikimbia tas...
30
Mtoto wa Angelina Jolie apata ajali
Mtoto wa nne wa mwigizaji Angelina Jolie, Pax Jolie-Pitt, yupo chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kupata ajali jioni ya jana Jumatatu Julai 29 wakati alipokuwa akiendesh...
30
Snura: Sio muziki tuu hata kwenye filamu hamtaniona
Moja ya stori ambazo zilishika vishwa vya habari vingi siku ya jana ni kuhusaiana na suala zima la mwanamuziki Snura Anton Mushi 'Snura' akitangaza kuachana na muziki, lakini ...
30
Mapya yaibuka tukio la Tory Lanez kumpiga risasi Megan
Wakati ‘rapa’ Tory Lanez akiendelea kutumikia kifungo chake baada ya kukutwa na hatia ya kumshambulia kwa bunduki aliyekuwa mpenzi wake Megani, ripoti mpya zinaele...
30
Diddy kuchunguzwa na familia ya Tupac
Baada ya kuandamwa na kesi takribani nane kuhusiana na unyanyasaji wa kingono, mkali wa Hip-hop wa Marekani Diddy ameripotiwa kufanyiwa uchunguzi na familia ya Marehemu Tupac....
29
Snura: Nimeacha muziki, nikifa msiniposti
Mwanamuziki Snura Mushi ametangaza kuacha muziki huku akikataza nyimbo zake kupigwa tena kwenye vyombo vya habari. Hatua hiyo imekuja baada msanii huyo kudai amemrudia Mungu. ...
27
Mtanzania anayeigiza kama Sokwe alia na kejeli za watu
Hassan Michael maarufu kama ‘Hassan Gorila’ Mtanzania mwenye kipaji cha kuigiza miondoko ya Sokwe alia na baadhi ya watu kukejeli kipaji chake.Amesema kati ya chan...
27
Tofauti ya Albamu, EP, LP na Mixtape
Baada ya kushika kasi kwa njia za kusambaza na kuuza muziki kidijitali, wasanii wengi nchini hasa wale wa Bongo Fleva wamerudisha utamaduni wa kutoa albamu ila sasa wameongeza...
27
Diamond bidhaa bora kwa miaka 14
Nenda Kamwambie. Kwamba Mondi ndiyo bidhaa bora zaidi ya muziki kwa miaka 14. Haichuji, haipauki, haichoshi kwa macho na masikio. Huyu ndiye staa zaidi wa muziki hapa Afrika M...
27
Diamond, Jason Derulo ni ukurasa mpya baada ya miaka 10
Na Peter AkaroNi ukurasa mwingine kwa Diamond Platnumz baada ya kuachia remix ya wimbo wake, Komasava (2024) ambao ameshirikiana na Jason Derulo kutoka Marekani pamoja na Khal...
27
Nilichokiona kwa Daz Nundaz
Ferouz bado ana 'eneji' kubwa sana. Daz Baba ana nyota kali sana. Hawa wote wanahitajiana kuliko wanavyodhani wao. Na huenda wakikaa pamoja wanaweza kuiona nchi ya ahadi tena....
27
Phina awatolea uvivu wanaoponda uvaaji wake
Na Glorian SulleMsanii wa muziki wa kizazi kipya anayetamba na kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la “We Huogopi”, Sarah Michael Kitinga ‘Phina’ ...
27
Alichosema Soggy baada ya Mahakama kuamuru walipwe Sh700 Milioni
Na Glorian sulleBaada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam, kuamuru Anselm Tryphone Ngaiza (Soggy Doggy) na Florence Kasela (Dataz) kulipwa pesa zaidi ya Sh...

Latest Post