Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) wameaswa kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na uadilifu ili kuiletea tija sekta ndogo ya mafuta na gesi asili...
Yees!! kama kawaida watu wangu wanguvu ni ijumaa nyengine tena tunakutana karibu katika makala za michezo na burudani bwana na leo nimekuandalia makala ya michezo twende...
Name: Joel Matiku
Birthday: May,6th
Kazi: Comedian
Joel Revocatus Matiku also know as Photogenic-mtoto and Bhoke is an comedian
Photogenic mtoto alipata umaarufu baada y...
Listi za wasanii watakao perform kwenye tamasha la Afronation imewekwa hadharani na kutoka Tanzania tutawakilishwa na Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.
Hata hivyo kw...
Habari msomaji ni siku nyingine tunakutana tena kupitia mwananchiscoop ambapo ninaamini kuwa u mzima wa afya na unaendelea na majukumu yako ya kila siku ya kulijenga taifa.
Le...
Moja ya story inayobamba katika mitandao huko ni ya Rapa Young Dee maarufu kama Young Dar es Salaam kutangaza kufungua studio yake mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram msan...
Muziki ni jambo ambalo linashabikiwa sana na vijana wengi licha ya kuwepo kwa wimbi kubwa la wasanii hapa kwetu bongo lakini bado underground wanafufuka kila inapoitwa leo.
Ha...
NANDY
THE AFRICAN PRINCESS
Birthday: November 9th, 1992
Kazi: Musician
Faustina Charles Mfinanga, maarufu by her stage name Nandy is a Tanzanian singer and songwriter. Amewahi...
Moja kati ya stori ambayo imeleta gumzo huko mitandaoni ni kuhusiana na Star wa Filamu nchini Irene Uwoya ameandika ujumbe unasema kwamba anataka Honeymoon na sio fungate. Sas...
Leo katika Throw Back Thursday (TBT), tunamkali wa muziki hapa bongo ambaye mwaka 2020 alipata shutuma za kutaka kujinyonga kisa mapenzi, huyu si mwingine ni Omary Mwanga maar...
Leo tutaongelea tabia za watu wasumbufu duniani. Wanasaikolojia wamekuwa wakisoma tabia za watu tofauti na kugundua kuwa zinatofautiana kutoka na makuzi, malezi na mazingira a...
Na Nnko Prisca
Lishe bora kwa mtoto ni jambo la muhimu sana na la kuzingatia sababu ndio humfanya mtoto akue katika afya nzuri ya kimwili pamoja na akili pia.
Mtoto mdogo ni t...
Sio kila mtu anapenda kufanya mazoezi Gym. Wengine kama mimi tunapenda kufanya mazoezi nyumbani kwa sababu moja au nyingine.
Na kama wewe unaangukia kundi hii, fuata hatua hiz...
Msanii Dogo Janja unaambiwa amefunguka tunaweza kusema hivyo kutokana na kusapoti wasanii wapya kwa 2022 ikiwa ni kama kurudisha kwa jamaii ambapo amesema ku...