Habari msomaji wa dondoo hii ya fashion, siku nyingine tena tumekutana ili kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na mitindo, urembo na mavazi ambayo najua unayajua ila mimi naku...
Yees! Hivyo ndivyo ninavyoanza bwana ambapo msanii Rayvanny amethibitisha kuwa Ep yake mpya "Flowers II" tayari imekamilika kwa asilimia 100. Taarifa hizi bwana amezitoa kupi...
Msanii asiyeishiwa na vituko Kanye West ameibuka tena na sasa hivi anachunguzwa kwa kosa la jinai alilolifanya hivi karibuni kwa shabiki yake.
Kanye West anachunguzwa na Maofi...
Habari msomaji wa fashion, Ni wiki nyingine tena tunakutaka ili kuelezana na kujuzana mambo mbalimbali kuhusiana na masuala ya mitindo, urembo na mavazi ambayo najua uwenda un...
Leo tutaelezea kuhusu mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au ectopic pregnancy. Hili ni ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali.
MwananchiScoop ime...
Unaweza kujiuliza wasiwasi nao ni ugonjwa eti?
Kisaikolojia huu ni ugonjwa ambao unasumbua baadhi ya watu na kwa sasa umekuwa mkubwa kutoka na mambo ya sayansi na tekelojia.
W...
Niaje mwanangu mwenyewe wa MwananchiScoop, hope huko poua kabisa na unaendelea vema na majukumu yako ya kila siku.
Leo kwenye Throw Back Thursday (TBT) tupo na mnyamwezi ambae...
Ohoo!! Ukisikia kimeumana ndiyo hii sasa ambapo msanii TID 'Top in Dar Mnyama' ametoa maoni yake kuhusu muziki kwa kusema waimbaji wengi wa sasa wanagezana jinsi ya...
Msanii wa Bongo Fleva Beka flavor amefunguka bwana baada ya kutokea sinto fahamu ya kufutiwa video zake mbili ambazo ni Libebe pamoja na Sikinai katika akaunti yake ya Youtube...
Mazoezi kama kawaida. Kimbia au tembea kwa dakika 30, kisha fanya sit-ups 20-30. Kunywa maji ya uvuguvugu glasi 4.
Mlo wa asubuhi (Breakfast): Kikombe kimoja cha chai au kahaw...
Abdul Naseeb AKA Diamond Platnumz ni mmoja kati ya wasanii wa muziki maaarufu nchini na wanaotuwakilisha vyema katika anga za kimataifa.
Indeed, hakuna asiemjua, kuanzia Maish...
Nilianza safari kuelekea Dodoma kwenda kumjulia hali rafiki yangu aliyekuwa akisoma katka moja ya chuo kikuu kikubwa na maarufu hapa nchini.
Licha ya kwenda kumjulia hali laki...
Inawezekana kupunguza uzito bila kufanya mazoezi wala diet, ndio inawezekana kama utaamua kufuata njia 5 zifuatazo ambazo nimekuandalia leo
Pakua chakula kwenye sahani ndogo
...