Uko pouwa wewe? This week kwenye Nipe Dili bhana nakusogezea jambo aadhwimu kabisa, jinsi ya kuandaa na kupika pizza ya kuku nadhani ilikua kiu ya wengi kutaka kufahamu utundu...
Wanaume na wanawake hudanganya, hilo halina ubishi, lakini sidhani kama kuna sababu iliyo nzuri katika kuelezea jambo hilo, kwamba kwa nini wanaume na wanawake hudanganya kati...
Aiseee unaambiwa baada ya kutangazwa kuwa septemba 16 kila mwaka itatambulika rasmi kama Gunnaday ndani ya mji anaotoka South Fulton Georgia nchini Marekani basii Rapa huyu bh...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka wakala wa chakula NFRA kuweka utaratibu mzuri ili kumaliza sintofahamu iliyopo juu ya ununuzi wa mahindi Manispaa ya Songea kwa ku...
It’s blue Monday wadau wameamua kuipa jina hilo bwana, ndani ya Mwananchi Scoop kila ifikapo siku hii huwa kwetu tunazungumzia masuala mazima ya kazi, ajira na maarifa m...
Bondia maarufu kutoka Ufilipino Manny Pacquiao ametangaza rasmi kuwa atagombea Urais wa Nchi hiyo kwenye Uchaguzi wa Mwakani huku akisema atahakikisha anat...
Unaambiwa unapoahidi jambo bwana basi hakikisha unalitimiza kwani siku zote ahadi ni deni, hili limemkuta Rapa Rick Ross ambaye alimuahidi Rapa mwenzie Tory Lanez zawadi...
KATIBU wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ametoa maagizo kwa Uongozi wa Bandari ya Mtwara ikiwemo kuhakikisha bandari hiyo kuanza kutoa...
Ni siku nyingine tena Jumatatu tulivu kabisa tunakutana kujuzana mambo mbalimbali ambayo najua wewe mwanafunzi yanaweza kukusaidia hao ulipo chuoni.
Basi leo karibu nikufahami...
It’s another Friday ndani ya makala za michezo na burudani bwana, wiki hii tunachonga naye Ismail Nassir maarufu kama Slimsuma, kijana ambaye anajihusisha na muziki kiza...
Niaje, wanangu!Leo katika urembo na fashion utaweza kujifunza kuhusu madhara ya kuvaa mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu.
Viatu virefu ni mojaw...
Star wa muziki Nchini Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido amevunja rekodi katika mtandao wa kuskiliza muziki wa Apple music kwa mwaka huu 2021.
Davido kupitia mtandao h...
Eee bwana mtu wangu wa nguvu leo kwenye gumzo mitandaoni moja ya stori iliyobamba ni ya mtoti wa Star wa filamu na mkali wa fashion stylist nchini Tanzania, Jacqueline Wolper ...