Nakumbuka kisa hiki nilikutana nacho siku moja majira ya asubuhi.
Nilikuwa nimepanda daladala kutoka Gongo la Mboto kuelekea Posta kibaruani kwangu.
Wanaonijua wanaweza kujiul...
Alaaaah!! Niaje mtu wangu karibu kwenye ukurasa wa Smartphone this Wednesday ikiwa ni wiki ya mwisho ya mwezi September.
Leo kwenye kipengele hiki bhana nimeamua kukusogezea n...
Msanii wa muziki Hip Hop kutoka Canada Aubrey Drake Graham a.k.a Drake ameamua kumpatia msanii mwenzake Future zawadi ya saa aina ya RichardMile yenye thamani za Bilioni moja....
Najua kuwa neno kipaji si jina geni masikioni mwako ila mimi leo nakujuza kuwa ni uwezo wa kuzaliwa nao mtu wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu bila kufundishwa au baada ...
Na Aisha Lungato
Mambo vipi! Jumanne kama ya leo tunakuletea yale mambo ya kushangaza dunia leo nakuletea mwanadada Harnaam Kaur mwenyew umri wa miaka 24, ambaye ni mwanamke k...
Habari kijana mwenzangu mwanaharakati ukiwa umetulia unafikiria kuna dili amabalo linaweza kukutoa ukapata shilingi mbili tatu?, leo nakupa dili hili hapa la utengenezaji wa k...
Mwanamuziki mkongwe nchini Marekani Robert Sylvester maarufuku kama R Kelly amekutwa na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wenye um...
Ifahamike kuwa jinsi ya kupata kazi au ajira kwa vijana imekuwa changamoto katika siku hizi za usoni kwa mantiki hiyo basi kijana unapaswa kuwa makini sana pale ambapo unabaha...
Dereva wa timu ya magari ya Mercedes Muingereza Lewis Hamilton ameshinda mbio za Langalanga (Formula 1) nchini Urusi (Russian Grand Prix) na kuweka rekodi ya kuwa dereva wa kw...
Rapa kutoka Marekani Daniel Hernandez maarufu kama Tekashi69 or 6ix9ine amerushiwa Chupa ya Maji na shabiki akiwa UFC las Vegas akishuhudia Mapambano ya ngumi.
Unaambiwa baada...
Mambo vipi kijana wenzangu, leo Jumatatu tulivu kabisa katika karia tunakuletea mchongo mmoja matata sana ambao ukiufahamu basi ukimaliza tu masomo yako na...
Harakati za maisha, kupambana na kuhakikisha unayafikia malengo uliyojiwekea sio jambo la kispotispoti mtu wangu, tafakari jitoe uwezavyo bila kujali maslahi ya haraka kwani k...