Msanii wa muziki kutokea nchini, Nigeria Wizkid unaambiwa amefunja rekodi nyingine huko na kuwafanya watu kuendelea kumpemda na kumfatilia.
Msanii huyo ameweka rekodi ya kuwa ...
Ee bwana moja kati ya story kubwa huku mitandaoni ni pamoja na Rapper kutokea nchini Marekani Jay Z na mkewe Beyonce kutangaza kuuza nyumba yao kwa Dola za Marekani 4,450,000 ...
Name: Mansuetus Canute Sahani
University: Institute of Finance Management
Position: Faculty Representative (Faculty of Computing, Information System & Mathematics
Co...
Mpira wa kikapu ni moja ya michezo maarufu inayochezwa sana barani Afrika, nikwambie tu kuwa ndiyo mchezo wa pili maarufu zaidi barani, ukiukaribia mpira wa miguu tu.
Mchezo h...
Na Aisha Lungato Hellow natumai ni wazima wa afya bwana leo kwenye urembo na fashion nimewaletea dawa ya lile tatizo sugu linalo waumiza vichwa mabinti wengi Sasa fahamu jinsi...
Kumekucha tenaa, ebwana eeeh!! Mambo yametaradadi kinoumaa Tegemea Wimbo Mpya # Jela Kutoka Kwa Msanii wa bongo fleva Ruby Siku Za Hivi Karibuni.
Unaambiwa hii inakuja Baada y...
Niaje wanangu wa Mwananchi Scoop leo kwenye gumzo mitandaoni, Ben poul aweka wazi kutoa ngoma na kundi la muziki linalo fahamika kama Navy Kenzo.
Ben pol ameweka wazi mipango ...
Inawezekana kupunguza uzito bila kufanya mazoezi wala diet, ndio inawezekana kama utaamua kufuata njia 10 zifuatazo ambazo nimekuandalia leo
Pakua chakula kwenye sahani ndog...
Na Aisha Lungato
Tatizo la aleji au mzio ni kubwa na mara nyingi husababisha vifo kwa waathirika.
Mpaka sasa bado hakuna dawa ya kutibu mzio au aleji lakini kuna dawa za kupun...
Ilikuwa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000, kipindi hicho nilikuwa napiga maji kwa kwenda mbele kabla sijaamua kuacha baada kupata misukosuko kadhaa...
Nakumbuka siku...
Binti wa kitanzania ambaye pia ni mwanamuziki Abby Chams ameandika historia baada ya kupata bahati ya kuwakilisha mabinti wa Tanzania pamoja na Afrika kwa ujumla katika Talk S...
Rapper kutokea nchini Marekani Tyga, unaweza kusema amekalia kuti kavu baada ya kufunguliwa mashtaka kwa kumpiga mpenzi wake wa zamani Camaryn Swanson maarufu kama Killa Cam u...