Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewahimiza vijana Nchini kuchangamkia fursa zilizomo kwenye sekta ya Mawasiliano kwa kuzingatia matumizi bora y...
Na Aisha Lungato
Niaje it’s another Tuesday natumaini mko pouwaa wanangu wa mwananchiscoop, siku kama ya leo bwana tunakuletea wanafunzi wanaosoma lakini huku wanajishug...
Mambo vipi ni jumanne nyengine tena tunakutana kwenye kipengele cha Nipe dili kama kawa kama dawa leo tutajifunza jinsi ya kupika mikate ya Ufuta.
Je unaifahamu mikate ya ufut...
Kujiongeza na kujitambua, kujituma ndiyo mambo makuu matatu yatakayomsaidia kijana kuhakikisha anafanya kile ambacho amekikusudia kwenye maisha yake.
Nikwambie tu kwa miaka ya...
Tunajua kuwa moja ya vitu vinavyowasumbu wanafunzi wengi ni kusoma na kisha kusahau kile ulichokisoma au kufundishwa.
Kutokana na changamoto hiyo leo katika Karia tumeamua kuk...
Msanii wa muziki wa bongofleva na bosi wa lebal ya WCB, Nassibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo ya msanii bora wa Afrika mwaka 2021 katika tuzo z...
Mkali wa muziki Bongo Barnaba Classic amesema anaona amefanya kitu sawa kwenye maisha yake baada ya kuonekana akitrend mitandaoni kwa kuvaa sketi ya kike.
Barnaba Classic anas...
MCM
Name: Ushindi Sadick Mwaikonge University: Udsm Position: Student Course: B.A in Political science and Public administration Year of study:Third year Favourate sport...
Bondia Hassan Mwakinyo ameonesha hisia zake za kutopendezwa na kejeli na maneno ya kashfa yanayoendelea kwa baadhi ya watanzaniaa kwa bondia mwenzake Abdallah Pazi maarufu kam...
Chama cha Mapinduzi (CCM), imeijia juu Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kwa madai ya kupiga wananchi wa Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha ...
Ebwanaaa eeeh!!! Ijumaa ya leo ndani ya makala za michezo na burudani nimekuletea michezo mitano mashuhuri au maarufu ambayo inakubalika zaidi barani Afrika .
Unaambiwa asili ...
Na Aisha Lungato
Mambo vipi wadau wa urembo na fashion leo bwana nimekuja na kitu konki, Watu wengi hupendelea kutumia maji ya moto kuoga pale hali ya hewa inapobadilika ...
Na Aisha Lungato
Name: Juma Omary Laurent
Birthday: 17Th August
Kazi: Comedian.
Juma Omary also known as Jolmaster is an Tanzania comedian on Cheka Tu standaup com...
Niajee leo kwenye gumzo mitandaoni waswahili wanasema mambo si mambo bwana, Staa wa muziki nchini Nigeria Tiwatope Savage maarufu kama Tiwa Savage ametumiwa mkanda wa ngono(se...