Mara nyingi uwapo katika mahusiano ya kimapenzi elewa na tambua ya kwamba kama hautakuwa makini haijalishi unampenda mpenzi wako kiasi gani ipo siku yatakufa.
Siombei jambo hi...
Baba mlezi wa wa msanii Liltunechi, Birdman amefunguka na kusema kuwa hajaona mtu wa kuweza kushindana na Lil Wayne kwenye stage ya Verzuz inayotafuta mkali wa hits.
Birdman a...
Star mkongwe wa filamu nchini, Johari Chagula amefunguka na kusema kuwa hawezi kuforce kuolewa ila anaimani kuwa wakati wa sahihi wa Mungu utafika na ataolewa.
Maneno hayo ya ...
Chuo cha Ryerson kilichopo Toronto Canada kimeanzisha kozi za mastaa wa muziki kutoka nchini humo ambae ni Aubrey Drake maarufu kama Drake na Abel Makkonen maarufu kama Thewee...
Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa simu za iPhone basi nadhani sasa ni wakati mzuri wa kufahamu kuhusu mfumo mpya wa iOS 15. Mfumo huu mpya ulitoka kutoka sambamba na sim...
Niaje mwanangu mwenyeweee!! Aaah wewe hatari kabisa, leo ndani ya smartphone bwana nakuletea njia ambazo ni rahisi kuzitumia pindi betri ya simu yako ikiwa mpya ili lisiwahi k...
Na Aisha Lungato
Jumla ya wasanii nane kutoka Tanzania wamefanikiwa kuingia katika tuzo za “The International Award and Home of the Africa Voice maarufu kama Afrimma.
Id...
SEHEMU YA KWANZA
KIGOMA MJINI, MACHI, 2005
ALIPOCHEKA, alipendeza. Tabasamu lake zuri, tabasamu linaloshawishi na kubembeleza, huwafanya watu, hususan wanawake wamsogelee na k...
Kuanzia jana jioni hadi leo kumekuwa na picha inayotrend mitandaoni na si nyingine ni ya Rais Mstaafu wa Tanzania awamu nne Dk. Jakaya Kikwete.
Picha hiyo inamuonesha Rais Mst...
Aliyekuwa mpiga picha wa Davido, Fortunate Umunname Peter a.k.a Fortune Amefariki Dunia.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa kifo chake kimetokana...
Mchekeshaji maarufu hapa nchini, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ anasema kwa sasa anahamia kwenye kazi ya utumishi wa Mungu ikiwa ni agizo aliomuachia marehemu mama...
Mpango wa Taifa wa Damu Salama Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro imepanga kufunga kampeni yake ya ukusanyaji damu salama Jumamosi Septe...
Sheila Mchamba ni mwanafunzi katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) anayesomea Shahada ya Uhasibu amefunguka ndani ya Mwananchiscoop na kuweka wazi kuwa anatamani kuwa kama ...