Wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz na Zuchu huwenda wakawa wamemaliza tofauti zao, hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa karibu zaidi siku ya jana Februari ...
Usiku wa kuamkia leo msanii Zuchu na Bosi wake Diamond wameshinda tuzo za Tanzania Digital Awards(TDA) ambapo Diamond ameondoka na tuzo ya msani bora wa kiume wa mwaka anayetu...