10
Akamilisha Kutengeneza Sendo Kubwa Zaidi Duniani
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
16
Hilda Baci kufungua chuo cha mapishi
Mpishi maarufu ambaye alijuliakana zaidi baada ya kuvunja rekodi ya kupika kwa muda mrefu Hilda Baci anatarajia kufungua chuo cha mapishi ambapo darasa la kwanza linatarajiwa ...
09
Hilda Baci: Nitabaki kuwa mmiliki wa rekodi
Ikiwa zimepita siku chache tangu ‘rekodi’ ya mpishi maarufu kutoka Nigeria Hilda kuvunjwa amedai kuwa kwenye roho yake na historia atabaki kuwa mmiliki wa rekodi h...
21
Hilda apokea tuzo ya Guinness baada ya kuthibitika kuvunja rekodi
Mpishi aliejizorea umaarufu kutoka nchini Nigeria, Hilda Baci amepokea ubao wake siku chache baada ya kuthibitishwa kuwa anashikilia rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kupik...
13
Guinness yathibitisha Hilda kuvunja rekodi ya dunia ya mpishi
Mpishi kutoka nchini Nigeria ambaye amekuwa maarufu duniani kote baada ya kupika bila kukoma kwa zaidi ya saa 93 amethibitishwa kuwa mshikilizi mpya wa rekodi ya dunia. Shirik...
27
Historia ya hilda Baci mpishi alievunja rekodi ya dunia
Amkenii!!! Team Scoop inatambua uwepo wenu wanetu wa faida na ndio maana kila weekend lazima tuwe tuna jambo na nyie wakurungwa tena katika segemeti hii ya michezo na burudani...
15
Avunja rekodi ya dunia kwa kupika masaa mengi
Mpishi kutoka Nigeria, Hilda Effiong Bassey, maarufu kama Hilda Baci, amevunja Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa mbio ndefu zaidi za upishi za mtu binafsi. Mpishi huyo, leo Juma...

Latest Post