Mkali wa Afrobeat Burna Boy ametua na meneja wake ambaye ni mama yake mzazi nchini Ivory Coast kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa mwisho wa kundi A utakaochezwa Januari 22 kati ya Nigeria dhidi ya Guinea Bissau.
Mpaka kufikia sasa katika kundi hilo Nigeria wana alama nne katika michuano hiyo ya Kombe la Mataifa Africa.

Leave a Reply