Drake ampa shabiki zawadi ya pochi

Drake ampa shabiki zawadi ya pochi

Rapper kutoka nchini Canada, Drake akiwa Los Angeles aliwashangaza mashabiki baada ya kutoa mkoba (pochi) aina ya Hermes Birkin wa rangi ya ‘pinki’ kwa shabiki kama zawadi.

Pochi hiyo yenye thamani ya 30k dolar ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh 70 milioni . Pochi hiyo alipewa mwanamke mmoja aliyekuwa mbele kabisa, kitendo hicho kiliwafanya mashabiki wapike kelele zaidi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags