Universal Music Group imewasilisha ombi la kufutwa kwa kesi ya Drake dhidi yao ikihusisha wimbo wa 'Not Like Us' wakidai rapa huyo alishiriki majibizano ya nyimbo kwa hiari ya...
Rapa na mwanamuziki maarufu kutoka Canada, Drake ambaye anajulikana kwa maisha yake ya kifahari na mapenzi makubwa katika muziki, inaelezwa kuwa aliwahi kununua nyumba ya jira...
Baada ya kutolewa kwa taarifa kuwa kutakuwa na burudani wakati wa mapumziko kwenye Kombe la Dunia, na sasa Rais wa FIFA, Gianni Infantino ameonesha nia ya kumtaka Drake kutumb...
Rapa Kanye West ameweka wazi pindi atakapofariki basi angependa msanii mwenzake Drake awe msomaji wa hotuba katika siku hiyo.Kupitia ukurasa wa X (zamani twitter), Kanye amemu...
Mustard ni miongoni mwa watayarishaji wa muziki wa Hip-hop wanaofanya vizuri duniani. Akifanikiwa kutengeneza ngoma kali za wasanii wakubwa ikiwa ni pamoja na 'Ballin' alioshi...
Na Ammar MasimbaUjasiriamali ni moja ya njia zenye faida kubwa katika muziki wa Hip Hop, kutoka kwenye ziara za muziki, mikataba ya kibiashara, uwekezaji, hadi kuanzisha biash...
Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada, Drake ameripotiwa kufuta kesi aliyoifungua dhidi ya Spotify na Universal Music Group baada ya kuzishutumu taasisi hizo kwa kuanzisha m...
Ngoma ambayo imembeba mwanamuziki kutoka Marekani Kendrick Lamar mwaka 2024 ya ‘Not like Us’ imetajwa kufikisha wasikilizaji bilioni 1.Mtandao wa Spotify umetangaz...
Rapa kutoka Marekani Drake amewachana watu wake wa karibu waliyomkataa wakati wa bifu lake na msanii mwenzake Kendrick Lamar.Drake amewatolea uvivu watu hao kupitia wimbo aliy...
Wanamuziki wa Hip Hop ambao walitawala vichwa vya habari duniani kote Drake na Kendrick Lamar wametajwa kuwa ndio wasanii wa Rap walioingiza mkwanja mrefu zaidi mwaka 2024.Kwa...
Mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy Combs ambaye amezuiliwa katika gereza la MDC Brooklyn, lililopo jijini New York ametajwa kuwa msanii aliyetafuta zaidi kwa mwaka 2024 kw...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Rapa kutoka Marekani Future amedai kuwa hafahamu chochote kuhusu bifu la Kendrick Lamar na Drake.Future ameyaeleza hayo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na GQ ambapo amefungu...