Graduates na Kadizember Vibes

Graduates na Kadizember Vibes

Na Habiba Mohamed
What's up what's up my beautiful people, it's another day kwenye jarida letu pendwa la Mwananchi Scoop, segment ya UniCorner tukiendelea kukuletea story mbalimbali ikiwemo elimu na burudani kutoka corner zote za chuo. Okkkk, ebwanaa saa hii kwenye kila corner za vyuo watu wako na "Kadizember fever” ama naweza sema kadizember vibeee." Yaani lile vibe la kuelekea graduation za vyuo mbalimbali.

Week hii imekuwa ya moto sana vyuoni baada ya matokeo yao ya semester ya pili kutoka ikiwa wengine ndo ulikuwa mwaka wao wa mwisho vyuoni katika kukamilisha elimu zao na wengine kupanda level nyingine ya elimu.

Sasa kadizember fever/Vibe iko kwa wahitimu wote wa vyuoni, kubwa zaidi wakiwaza hiyo December namna ya kusheherekea graduation zao kuhusu swala zima la fashion ya kipekee katika kusheherekea graduu.

Ayaaaa mwana UniCorner, let me know your comments, kadizember Vibe unazingatia kitu gani kati ya fashion, good food, picture kaliii, make-up au maswalaaa ya zawadiii na surprises.

Byeeee byeeee, till next time!






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Detricia Pamba

A Digital Journalist, Content Creation Executive at Mwananchi Communications Ltd and Chief Editor of Mwananchi Scoop. I'm also writes stories around Technology, every Wednesday on Mwananchi Scoop. My other famous segments on Mwananchi Scoop include LISTI and WHO’S HOT.


Latest Post

Latest Tags