Muigizaji kutoka nchini Marekani #JonathanMajors amemshitaki mpenzi wake wa zamani #GraceJabbari kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi maeneo ya usoni na sikioni.
Major aliwasilisha mashitaka hayo Juni, 23 mwaka huu kwa madai ya kushambuliwa na aliyekuwa mpenzi wake #Grace ambapo kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa jana Jumatano ilipigwa kalenda mpaka #Novemba 29.
#JonathanMajors alitambulika zaidi kufuatia filamu alizocheza kama vile ‘Creed III’, ‘Ant-Man and the Wasp’ , ‘Lovecraft Country’, ‘The Last Black Man in SanFrancisco’ na nyingine nyingi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi

Leave a Reply