Kanye West amsogeza mwanaye kwenye muziki

Kanye West amsogeza mwanaye kwenye muziki

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest amemtambulisha rasmi mtoto wake #NorthWest katika ulimwengu wa muziki kwa kumshirikisha kwenye Album yake mpya ya ‘Vulteres’

#NorthWest mwenye umri wa miaka 10 amepiga verse yake ya kwanza kwenye wimbo ambao mpaka sasa haujajulikana, mpaka pale Album hiyo itakapo toka siku ya Ijumaa December 15 mwaka huu.

North West ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne ambao mwanamuziki Kanye West alizaa na mfanyabiashara Kim Kardashian.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags