Kendrick Lamar aendelea kutamba kwenye chati

Kendrick Lamar aendelea kutamba kwenye chati

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ameendelea kuupiga mwingi kupitia ngoma yake ya ‘Euphoria’ aliyoiimba kwa ajili ya kumjibu Drake, ambapo inatajwa kushika nafasi ya kwanza kwenye chati za ‘Apple Music’ nchini humo.

Rekodi hiyo inamfanya msanii huyo kuwa mwanamuziki pekee kwa mwaka huu kukaaa namba moja mwezi mzima katika chati hizo.

‘Euphoria’ wimbo ambao ni mahususi kwa ajili ya Drake uliingia nafasi ya kwanza kupitia mtandao wa Youtube ukiwa na saa chache tangua uachiwe, hata hivyo imeelezwa kuwa kwasasa Lamar ndiyo ‘rapa’ anaye-trend kutokana na blog mbalimbali kuandika stori zake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags