Leo Siku Ya Kukumbatiana Duniani

Leo Siku Ya Kukumbatiana Duniani

Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.

Siku hii inaadhimishwa kwa kuanza kuwapa kumbato familia, marafiki au mtu uliyenaye karibu. Ili kuboresha ustawi wa kiakili na kuimarisha mahusiano baina yenu.

Zaidi ya hayo pia unaweza kuisherehekea kwa kukusanya fedha kwa ajili ya kuwapatia watu wenye uhitaji kwa lengo la kuonesha upendo na msaada kwao.

Utamkumbatia nani leo?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags