Marioo atoa neno la shukurani baada ya video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Diamond, Jux na wasanii wengine wakicheza wimbo wa #Sumu ulioimbwa na Alikiba ft Marioo.
Marioo ameandika,
Binafsi nawapenda na kuwaheshimu Brothers wote kwa sababu nyie ndo sababu ya nafasi yangu ❤️🔥
Naamini upendo umetawala sana mioyoni mwenu japo kuwa sometimes mambo ya ridhki ndo yanafanya kuwa kuna namna tofauti But NOTHING SERIOUS 🧐
Let's Take bongofleva to the Top 🇹🇿❤️🚀🚀

Leave a Reply