Mwanamuziki Diamond Platnumz ametajwa kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki na Kusini kufikisha stream milioni 500 kwenye mtandao wa kusikiliza na kuuza muziki Boomplay.Rekod...
Zikitajwa nyimbo kumi za Bongo zenye mafanikio makubwa, lazima jina la mzalishaji muziki S2kizzy litajwe. Hii ni kutokana na mkali huyo kuhusika kwenye kutengeneza nyimbo nyin...
Mwanamuziki ambaye anatambulika Kimataifa kupitia wimbo wake wa ‘Komasava’, Diamond ameonekana kutumia show ya Jux kumaliza ugomvi wake na Zuchu.Show hiyo ambayo i...
Wakiwa na miezi sita tu tangu kuweka wazi uhusiano wao, Jux na Priscilla Ojo ‘Hadiza’ wamekuwa wakitoa somo zuri kwa mashabiki na wadau wa Bongo kuhusiana na maana...
Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza&...
Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ya mastaa wawili ni Jux na Priscilla ambao wamefan...
Wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Diamond Platnumz na Zuchu huwenda wakawa wamemaliza tofauti zao, hii ni baada ya wawili hao kuonekana kuwa karibu zaidi siku ya jana Februari ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilia leo Februari 7,2025.Taarifa ya ndoa ya wawili hao imetolewa na baadh...
Jumapili ya Januari 12, 2025 mpenzi wa msanii wa muziki wa RNB, Juma Mussa 'Jux', Priscilla Ajoke Ojo ametua Tanzania akitokea kwao Nigeria na kuthibitisha anatarajia kufunga ...
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee, ameweka wazi kutorudia kufanya muziki wa kidunia huku akiuhusisha na masuala ya kishetani.Vanessa ameyasema hayo alipokuwa akifa...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini anayetamba na ngoma ya ‘Ololufemi’ Jux ameweka wazi tofauti kati ya mpenzi wake wa sasa Priscilla Ajoke na wapenzi wake wa nyuma ...
Mwanamuziki wa nyimbo za injili nchini Joel Lwaga ameendelea kuonesha ubabe wake kwenye mtandao wa kusikiliza muziki wa Apple Music kwa kuendelea kushika namba moja kwa wiki t...
Baadhi ya wanamuziki wa Bongo Fleva nchini wametajwa kuongoza orodha ya wasanii wanaotazamwa zaidi kupitia mtandao wa Youtube nchini Kenya.Kupitia blogu ya ‘Nairobi Goss...
Kati ya mastaa Bongo walioteka mazungumzo mtandaoni wiki hii, ni Jux, 34, mara baada ya kumtembelea nyumbani kwao Nigeria mpenzi wake mpya, Priscilla Ojo, 23, ambaye ni muigiz...