Tanzania nchi ya nne kwa uzuri Duniani

Tanzania nchi ya nne kwa uzuri Duniani

Aloooooweeee! Alooootenaaa! Jamani weee lazima tujisifie na kujivunia  chakwetu bwana, ama kweli royal tour imeleta manufaa haswa basi bwana unaambiwa,Tanzania imetajwa kuwa nchi ya nne kwa uzuri duniani.

kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk. Tanzania imepata alama 6.98 kati ya alama 10 zilizotumika kupima uzuri wa nchi, tovuti hiyo ambayo ilitoa top 50 most beautifully country in the world.



ambapo nchi 10 bora zikiwa ni

1. Indonesia
2. New Zealand
3. Colombia
4. Tanzania
5. Mexico
6. Kenya
7. India
8. France
9. Papua New Guinea
10. Comoros

Wanangu wa mwananchi scoop dondosha komenti yako hapo chini tuone kama unajivunia chakwako najua huwezi niangusha mwanangu sana.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags