Tamika Swila, Mwananchimwananchipapers@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Leo ni siku ya fani (vipaji) kwa watoto duniani. Siku hii inatoa nafasi kwa watoto, wazazi, na jamii nzim...
Leo ni siku ya kimataifa ya wanawake ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka duniani kote kwa lengo la kutambua haraka ambazo zinalenga kupigania usawa kujinsia, haki ya kuz...
Kampuni ya ‘Paul Dalton's Miracle Detail’ inatajwa kuwa ndio kampuni yenye gharama zaidi duniani katika uoshaji wa magari. Huku ikitumia dola 15,000 ikiwa ni zaidi...
Endapo jana Februari 14 ulikosa raha kwa sababu wengi walisherehekea siku ya wapendanao kwa kupokea zawadi, ujumbe wa mahaba au kwenda matembezi na wenza wao, wakati wewe haun...
Mfahamu Debbi Wood mwanamama kutoka nchini Uingereza anayetajwa kuwa mwanamke mwenye wivu zaidi duniani, kutokana na tabia yake ya kutomuamini mume wake Steve Wood.Mwanamke hu...
Kila ifikapo Januari 22 dunia inaadhimisha Siku ya Kukumbatiana. siku ambayo ilianzishwa mwaka 1986 na mchungaji Kevin Zaborney huku lengo kuu likiwa ni kupeana faraja.Siku hi...
Mbunifu wa mitindo kutoka Nigeria, Liz Sanya anatajwa kukamilisha kutengeneza kiatu (sendo) kikubwa zaidi dunaini kwa kutumia masaa 72.Kwa mujibu wa tovuti ya ‘News Cent...
Albamu ya A Father Figure kutoka kwa mkali wa Hip Hop, Dizasta Vina iliyotoka Januari 6, 2024 ikiwa imeshiba ngoma kama Theluji, Nobody is safe 5, Hatia VI, Not A Hero, Chupa ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amewekawazi kuwa ndoto yake kubwa kwa sasa ni kuwa tajiri namba moja duniani huku akiweka ahadi ya kuwa mtan...
Mwanamuziki Billnass amesema tuzo zote duniani huwa zinalalamikiwa hivyo kwa maoni ambayo yanaendelea kutolewa dhidi ya Tuzo Za Muziki Tanzania yasiwe ya kuvunja moyo."Mimi ni...
Mwanamke aitwaye Maria Branyas Morera kutoka Hispania ambaye alikua akishikiria rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ kuwa binadamu mzee zaidi amefariki akiw...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...