Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Muigizaji Maarufu kutoka Marekani 'Djimon Hounsou' amweka wazi hali ya chumi na kutothaminiwa kwenye tasnia ya filamu Hollywood baada ya kufanya mahojiano na CNN nakufichua ku...
Washiriki wa mashindano ya Miss Tanzania wameihimiza Serikali kuimarisha zaidi mazingira ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya mianya ya bi...
Pastor Tony Kapola ahaidi kumsaidia matibabu, na kumtafutia nyumba mwanamuziki chipukizi wa Arusha aitwaye Hashi Papi.Ahadi hizo zimetolewa baada ya kijana huyo kutumbuiza usi...
Msanii wa Hip Hop Bongo, Nay wa Mitego alikuja na mtindo wa aina yake kwenye muziki kwa kukosoa wasanii wengine na baadhi ya mambo kwenye tasnia jambo lililompatia umaarufu ku...
Wataalamu wa utafiti, mkakati na data ‘Statista’ wametoa orodha ya nchi zinazozalisha filamu huku nchi ya Tanzania ikishika namba nne kati ya nchi 10 barani Afrika...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu kati...
Mwanamitindo Judith Peter anatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe 2024 yanayotarajia kufanyika nchini Mexico.Mshindi huyo wa Miss Universe Tanzania...
Baada ya mwigizaji Salim Ahmedy ‘Gabo Zigamba’ kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, amefunguka kuwa ni muda wa watengenezaji filamu kujitoa ili kazi zao z...
Mwanamuziki Ali Saleh Kiba, maarufu Alikiba amefunguka kuhusiana na plani zake za kuupeleka muziki wake Kimataifa kama wasanii wengine kwa kuweka wazi kuwa anamipango wa kufan...
Miss Tanzania 2022, Halima Kopwe ambaye aliiwakilisha nchi katika mashindano ya urembo duniani amekanusha tetesi zinazodai kuwa waandaaji wa shindano la urembo Miss Tanzania h...
Ikiwa jana Septemba 3, 2024 dirisha la kuwapigia kura wasanii watakaowania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) lilifunguliwa, hivi ndivyo vipengele 17 vinavyoshindaniwa ambavyo vime...