Tory kuhukumiwa leo

Tory kuhukumiwa leo

Inadaiwa kuwa Rapa Tory Lanez kutoka nchini Marekani anaweza kupata kifungo cha muda mrefu katika hukumu yake inayotarajiwa kutolewa  siku ya leo  baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga risasi na kumjeruhi miguuni nyota wa hip-hop Megan Thee Stallion.

Licha ya  tukio hilo kuzua gumzo juu ya dhuluma wanayopata wanawake weusi nchini humo, na kupelekea waendesha mashitaka kumuomba ‘jaji’ ampe Tory kifungo cha miaka 13 gerezani lakini kwa upande wa mawakili wa utetezi wameendelea kuomba msanii huyo kupunguziwa adhabu au apewe kifungo cha nje.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags