Alikiba agomea mwaliko wa Diamond

Alikiba agomea mwaliko wa Diamond

Baada ya msanii wa #BongoFleva Diamondplatnumz kuwaalika baadhi ya wasanii kwenye tamasha lake la Wasafi Festiva, akiwemo mkali Alikiba, sasa msanii huyo kupitia mahojiano yake na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo kwenye party ya Nandy, amethibitisha kutoshiriki kwenye Tamasha hilo.

Alikiba alipoulizwa kuhusu kufika kwake kwenye tamasha amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana muda yuko busy na shughuli zake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags