Kupeana tafu ndio mpango mzima kwenye maisha, hiyo imejidhihirisha kwa baadhi ya wasanii wa muziki nchini ambao wamezibeba historia za mafanikio ya wasanii.Katika historia ya ...
Msanii wa Bongo Fleva Treyzah ameendelea kuupiga mwingi katika muziki huku akiachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Sitaki Tena Mapenzi’.
Ufundi wake wa kuchora nyi...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Peter Akaro
Imekuwa ajabu kuona wimbo wa Rayvanny, Nesa Nesa (2024) uliotoka takribani miezi mitatu iliyopita ukirejea tena katika chati na sasa challange zake zimeshika kasi ...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
WhatsApp imeweka feature mpya inayowaruhusu watumiaji wake kuweka wimbo wowote waupendao kwenye hadithi (status).Kwa kutumia feature hiyo mpya unaweza kuchaguwa kipande cha wi...
Peter AkaroMwanamuziki wa Marekani, John Legend (46) amesema kipindi anarekodi na Lauryn Hill (46) alikuwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu na hakutegemea kama kazi hiyo ingejumuis...
Bondia Mstaafu George Foreman amefariki dunia jana Ijumaa, Machi 21, 2025 akiwa na umri wa miaka 76.Taarifa ya kifo cha Foreman imetolewa na familia yake ambayo hata hivyo hai...
Nani kama Costa Titch? muda aliohudumu kwenye muziki ni mchache lakini alifanikiwa kuonesha kila juhudi na mafanikio kwenye kazi yake. Costantinos Tsobanoglou maarufu kama Cos...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeanzisha mpango wa kusaidia wasanii wanaokabiliwa na uraibu wa dawa za kulevya, lengo likiwa ni kuwasaidia kupona...
Peter Akaro Baada ya rapa aliyetamba na kundi la Nako 2 Nako Soldiers na sasa Weusi, Lord Eyes kudai muziki wa Hip Hop Bongo kuna sehemu umekwama, wasanii wenzie wamejibu kaul...
Kwa mara ya kwanza mwingizaji na mfanyabiashara Jacqueline Wolper amezungumza kuhusiana na kesi inayomkabili mwigizaji mwenzie Joice Mbaga 'Nicole' ambaye alifunguliwa kesi ya...
Peter AkaroMsanii wa Hip Hip Bongo na Mwanasiasa kwa sasa, Joseph Mbilinyi 'Mr. II 'Sugu' alitoka rasmi kimuziki mwaka 1993, hivyo ana miaka 32 katika tasnia ambayo anajivunia...
Mzalishaji muziki maarufu nchini S2kizzy ‘Zombie’ ameendelea kujimwagia maua yake huku akidai hakuna producer mwingine kutoka Bongo anayeweza kumfikia.Zombie ameya...