08
Tajiri Murdoch kuoa tena kwa mara ya tano
Mwanzilishi wa vyombo vya habari na tajiri maarufu kutoka nchini Marekani Rupert Murdoch (92) anatarajia kufunga ndoa yake ya tano na mpenzi wake Elena Zhukova (67).Kwa mujibu...
08
Pochi nyepesi zaidi duniani yazinduliwa
Chapa maarufu kutoka Paris ‘Fashion house Coperni’ imeripotiwa kutengeneza pochi nyepesi zaidi duniani ambayo inauzito wa gramu 33, iliyooneshwa kwa mara ya kwanza...
08
Chanzo cha siku ya wanawake duniani
Kila ifikapo tarehe kama ya leo Machi 8, dunia inaadhimisha siku ya wanawake. Wapo baadhi ya watu ambao huitumia siku hii kuwapa zawadi ndugu zao wa kike, wapo wanaoituma kwa ...
08
Tyla asitisha ziara yake
Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameripotiwa kughairisha ziara yake ya kwanza ulimwenguni kutoka...
08
Mike Tyson kurudi tena ulingoni
Bondia wa ngumi za kulipwa kutoka nchini Marekani Mike Tyson (58) atarajia kurudi tena ulingoni Julai 20 mwaka huu akizichapa na Jake Paul (27), pambano ambalo litafanyika kat...
07
Ramadhani Brothers kutua kesho Dar
Baada ya kufanya mambo makubwa na kuondoka na taji la America’s Got Talet: Fantasy League waruka sarakasi kutoka nchini Tanzania Ibrahim na Fadhili Ramadhani maarufu kam...
07
Ahama kwa wazazi na kwenda kuishi kwenye treni
Kijana mmoja kutoka nchini Ujerumani aitwaye Lasse Stolley (17) anadaiwa kuhama kwa wazazi wake na kwenda kuishi katika treni za ‘Deutsche Bahn’ kwa mwaka mmoja na...
07
Mr Blue: Marafiki waliniharibu
Mwanamuziki Mr Blue ameweka wazi kuhusiana na safari yake ya muziki ambapo amedai kuwa yeye aliharibiwa na watu (marafiki) ambao walikuja baada ya yeye kuwa ‘staa;.Mr Bl...
07
Dube aipa thank you Azam fc
Baada ya jana mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube kufuta utambulisho na picha zote alizopiga akiwa na jezi za timu hiyo, leo ameendeleza kuonyesha kuwa haitaki tena timu hiyo...
07
Zari na shakibi wamaliza tofauti zao
Baada ya kuzuka sintofahamu kwa wanandoa Zari pamoja na mumewe Shakibi kuwa wameachana, wawili hao wamethibitisha kuwa wapo pamoja baada ya kuonekana Saudi Arabia.Kupitia ukur...
06
Rema aweka wazi kuwa na tatizo la macho
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Rema ameweka wazi kuhusiana na uvaaji wake wa miwani kwa siku za hivi karibuni, ambapo ameeleza kuwa anatatizo la macho.Rema ameyasema hayo ...
06
Apple kuwalipa watumiaji wa iphone za zamani
Kampuni ya Apple inatakiwa kuwalipa watumiaji wa simu za iphone za zamani nchini Canada baada ya watumiaji kushinda kesi ya Batterygate kesi ambayo ilikuwa inaonesha kampuni h...
06
Dube afuta picha zote akiwa na jezi za Azam
Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na ‘timu’ yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, ripoti zinafichua kwamba Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zak...
06
George alikataa kuwepo kwenye video ya Nicki
Nyota wa NBA kutoka nchini Marekani Paul George ameweka wazi kuwa alishawahi kukataa ombi la ‘rapa’ Nicki Minaj kuwepo katika moja ya ngoma zake.Paul alifunguka su...

Latest Post