Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Mwanamuziki Rihanna amewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa nchini India amejifunga mtandio kiunoni.Rihanna ameonekana kwenye vazi hilo wakati...
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...
Baada ya washukiwa wa mauaji ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, AKA kukamatwa na kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi jiji Durban siku ya jana Februari 29, baba mzaz...
Mji wa Boston, Massachusetts nchini Marekani umetangaza Machi 2, kuwa ni siku ya Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy, itayoitwa ‘Burnaboy Day’ kama h...
Mwanadada Onika Tanya Maraj, maarufu Nicki Minaj amekuwa rapa wa kwanza wa kike kufikisha streams bilioni moja kwenye mtandao wa Spotify.Minaj ambaye ni mzaliwa wa nchi ya Tri...
Kiungo wa Juventus, Paul Pogba amefungiwa miaka minne kujihusisha na soka baada ya kukutwa na hatia ya kutumia dawa za kuongeza nguvu.Pogba ambaye amewahi kuwa mchezaji ghali ...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Fireboy DML, ameukosa muziki wa #Afrobeat kwa kudai kuwa muziki huo hauna mtiririko mzuri wa uandishi baada yake unabebwa na ‘vaibu&rsq...
Mjengo wa kifahari wa ‘rapa’ kutoka nchini Marekani Travis Scott ulioko Brentwood jijini Los Angeles upo hatarini kuanguka, kutokana na ufa mkubwa ulioonekana kwen...
Mwanamieleka kutoka nchini Marekani, Michael Jones ‘Virgil’ afariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 baada ya kusumbuliwa kwa ugonjwa wa saratani ya utumbo kwa muda...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West, inaonekana amechoshwa na watu kutumia jina lake la zamani la Kanye na badala yake kuwataka watumie jina jipya la kisheria...
Tunajua umeshazoea kutembelea katika hotel zenye vivutio mbalimbali vya aina yake lakini sijui kama unafahamu kuhusiana na hotel hatari zaidi duniani ambayo ipo katikati ya ba...