Mwanamuziki Peter Morgan maarufu kama Peetah, ambaye ni kiongozi wa kundi la Morgan Heritage la nchini Jamaica amefariki dunia siku ya jana Feb 25.Taarifa ya kifo chake imetol...
'Klabu’ ya #Yanga imetoa taarifa kuwa Afisa Habari wa ‘timu’ hiyo #AliKamwe anaendelea vizuri kwa sasa, baada ya kupata matatizo ya kiafya dakika chache kabl...
Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #DiamondPlatnumz amekiri mbele ya mashabiki kuwa #Zuchu ndiye mwanamke anayesababisha wanawake wengine awaone kama dada zake.Diamond ameyasem...
‘Klabu’ ya #ManchesterUnited wamepokea kichapo cha mabao 2-1 na ‘klabu’ ya #Fulham siku ya jana kwenye muendelezo wa Ligi Kuu England.Inaelezwa kuwa ma...
'Timu' ya #Chelsea na #Liverpool zitakutana leo kwenye fainali ya kombe la Carabao ambapo bingwa wa mchezo huo ataondoka na pauni 100’000 sawa na tsh 322 milioni kama za...
Matajiri wa Yanga jana usiku walikutana na wachezaji kuwapa ahadi nzito ya fedha isiyopungua Sh500 milioni kwa ushindi, lakini kabla ya hapo kambini kwa wachezaji kumekuwa na ...
Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao...
Kama tunavyojua wapo baadhi ya watu pesa kwao sio kitu, sasa tumeamua kuwasogezea sehemu ambayo wataenda kuenjoy maisha, ambapo ni katika hoteli yenye gharama zaidi duniani il...
Mwanamke mmoja kutoka Uholanzi aitwaye Alicia Framis anampanga wa kufunga ndoa na roboti ‘Hologramu ya AI,’ aitwaye AILex ili kuona utofauti kati ya mahusiano ya A...
Utafiti uliofanywa na ‘The Journals of Gerontology’ wanasayansi wanaojihusisha na masuala ya uzee, unapendekeza kula matunda aina ya Zabibu mara kwa mara kwa ajili...
Siku ya jana, Ijumaa Februari 23, Bunge la Ujerumani liliidhinisha sheria ya kuhalalisha uvutaji wa bangi, ambapo imeruhusu kumiliki kilo 25 katika maeneo ya Umma na kilo 50 n...
Wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Uingereza, Estelle Fanta aliomshirikisha Kanye West wa ‘American Boy’ umefanikiwa kufikisha Streams zaidi ya milioni 700 katika ...
Mwanamuziki wa Bongofleva nchini Zuchu ameweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake ambaye pia ni Bosi wake Diamond kuwa hawapo kwenye mahusiano.Zuchu kupitia ukurasa wake wa Instagr...