Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ameonesha kuwa uhusiano wake na ‘klabu’ yake ya zamani ya Barcelona hauwezi kuvunjika, baada ya k...
Manchester United huenda ikamkosa beki wake wa kushoto, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu kutokana na majeraha ya misuli. Shaw alipata majeraha hayo kwenye ‘mechi’ dh...
Mtoto wa ‘rapa’ Kanye West, North West amefanikiwa kuingia kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 100, kufuatiwa na ngoma aliyoshirikishwa na Baba yake ya &l...
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini #Nigeria, #Davido ametangaza kuwa atachangia Naira milioni 300 ambazo ni sawa na tsh 500 milioni kwenye vituo vya watoto yatima vilivyopo nchin...
Msanii wa Bongo Fleva, Nedy Music amesema wimbo wake aliomshirikisha Barnaba unaoitwa Mapenzi, umemfungulia njia kwa mwaka 2024.
Amesema wimbo huo una ujumbe mzito na tangu au...
Mwanamuziki wa bongo fleva, Ruta Bushoke amemtaja msanii wa kike, Zuhura Othoman 'Zuchu' kwamba alikuwa namba moja kwa kufanya kazi bora mwaka 2023.
Bushoke ametoa sabab...
Watu wengi wamekuwa wakiona neti ambazo huwekwa wakati wa ujenzi wa maghorofa, bila ya kufahamu umuhimu wake huku baadhi yao wakidhani huwekwa kama urembo wakati wa ujenzi wa ...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Offset amemshawishi mama wa watoto wake #CardB kurudi studio kwa ajili ya kutoa albamu yake ya pili baada ya miaka 6 kupita.
Kwa muj...
Msimu wa 71 wa shindano la kumpata mlimbwende wa dunia (Miss World) ulianza rasmi Februari 18, 2024, na utaendelea kwa siku 21 na kufikia tamati Machi 9 nchini India.
Washirik...
Wanaume wawili kutoka Marekani wameshitakiwa kwa mauaji baada ya kufyatua risasi na kusababisha vurugu kwenye sherehe za ushindi wa ‘Super Bowl’ mwaka huu huko Kan...
Hili ndiyo jengo ambalo linadaiwa kuwa na zaidi ya wakazi 20,000 lipatikanalo Hangzhou nchini China ambalo lilipewa jina la ‘Regent International’.
Jengo hilo lina...
Baada ya siku kadhaa nyuma kutangaza kuondoka katika ‘klabu’ ya Paris St-Germain (PSG) mshambuliaji Kylian Mbappe amekubali kujiunga na Real Madrid msimu mpya utak...