Kuna msemo usemao mapenzi ya kweli hayajifichi, msemo huu unajidhihirisha kwa mwanamama Diana Maver, (77) ambaye anaendelea kupokea zawadi za maua katika siku ya Valentine kut...
Baada ya kukamilisha kibarua cha kuitumikia ‘timu’ yake ya Taifa ya Ivory Coast, katika michuano ya #Afcon2023 mchezaji wa ‘klabu’ ya Borussian Dortmun...
Licha ya wawili hao kutangaza kuachana Novemba 2023, lakini bado wameendelea kukutana katika baadhi ya matukio muhimu ikiwemo sikukuu ya Krismass, na sasa ‘rapa’ C...
Albamu ya ‘rapa’ Kanye West na Ty Dolla $ign ‘Vultures 1’ inadaiwa kuondolewa kwenye mtandao wa kuskiliza muziki wa Apple Music na iTunes siku tano baa...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) Kylian Mbappe ametangaza kuondoka katika ‘timu’ hiyo ifikapo mwezi Julai baada ya mkataba wake kuisha....
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ‘klabu’ ya #Chelsea kutaka kumsajili ‘kocha’ #JoseMourinho, mchezaji wa zamani wa Chelsea na Arsenal #EmmanuelPetit...
Mwanamitindo kutoka nchini #Calisah amesema kuwa hawezi kuwa na mwanamke aliyemzidi kwa kila kitu hususani katika kipato.
Akiwa katika mahojiano na mmoja ya chombo cha habari ...
Aliyekuwa kiongozi wa kampuni ya #Apple, Bobak Tavangar, ambaye kwasasa ni CEO wa Brilliant Labs amezindua miwani inayoweza kutafsiri lugha, kutambua unachokitazama na kukuwez...
Kuna msemo unasema utampata mweza wa kufanana naye, hivi ndivyo ilivyo kwa wapendanao Nes na Joel ambao walipendana kutokana na wote kupenda kuchora tattoo.
Ikiwa jana ni siku...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, #MoMusic ameeleza kuwa #BabaLevo alistahili kupigwa na #Harmonize, huku akidai kuwa hata angekuwa yeye angefanya hivyo hivyo.
Mo ameyasema hayo kup...
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Usher kudaiwa kufunga ndoa, hatimaye mwanamuziki huyo amelithibitisha hilo kwa ku-posti picha zake za harusi akiwa na mkewe Jennife...
Kutokana na kuwepo kwa mpango wa kutengenezwa filamu ya mfalme wa Pop Michael Jackson (MJ) huku akisakwa mtu ambaye atafanana na kuwa na miondoko kama msanii huyo, hatim...
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina lake kutoka nchini China amefuvuruga mipango ya wapendanao katika sikukuu ya Valentine, Februari 14, baada ya kuwakataza kuketi pamoja ...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #SpartakMoscow kutoka nchini Urusi, #QuincyPromes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevy...