Mfanyabiashara na CEO wa ‘UnitedMasters’ Steve Stoute kutoka nchini Marekani amedai kuwa mwanamuziki Selena Gomez alimtumia mkali wa Afrobeat Rema kurudisha umaaru...
Kutokana na baadhi ya mashabiki kutoka nchini #Nigeria kuumizwa na kitendo cha mastaa wao kutopokea tuzo yoyote ya #Grammy, mtangazaji Zamaradi Mketema ameyatoa ya moyoni huku...
Bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa na ‘promota’ kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather ameendelea kuonesha jeuri ya pesa, ambapo ameripotiwa kutumia dola 1.13 a...
Baada ya kuzuka sintofahamu kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na ndege binafsi ya mwanamuziki Taylor Swift kudukuliwa na mwanafunzi wa Florida, na sasa inadaiwa kuwa Taylo...
Baada ya kushindwa kunyakuwa tuzo yoyote katika vipendele vitatu alivyoteuliwa na Grammy mkali wa Afrobeat Davido ameeleza kuwa licha ya kukosa Tuzo hizo baba yake mzazi Adede...
Inadaiwa kuwa mwanasiasa kutoka nchini Nigeria Dkt. Cairo Ojougboh, alifariki dunia siku ya jana Februari 7, wakati akishuhudia mchezo wa nusu fainali ya #AFCON, Nigeria dhidi...
Mwanasoka kutoka nchini England, aliyewahi kucheza ‘klabu’ ya #ManchesterUnited #JesseLingard ame-saini mkataba wa mika miwili katika ‘klabu’ ya #FCSeo...
Huduma za Internet nchini Pakistan zimezuiwa kwa muda kuhofia ugaidi wakati wa zoezi la uchaguzi linaloendelea leo nchini humo kufuatiwa na upinzani mkubwa wa vyama viwili vya...
Kampuni ya utengnenezaji vifaa vya chooni ‘TwoDaLoo Company’ miaka ya 1991 ilivumbua wazo la vyoo viwili ‘double toilet’, kwa ajili ya wapendanao.
Wazo...
Baada ya ‘timu’ ya taifa ya Nigeria kuifunga Afrika Kusini na kutinga katika Fainali za #AFCON mashabiki wa ‘Super Eagles’ wameonesha utani wao kwa kui...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Nicki Minaj kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share kionjo cha ngoma yake ambayo ameifanya na mkali wa #Afrobeat kutoka Nigeria, ...
Baada ya kufanya ‘kolabo’ ya ngoma yake inayotrend kupitia mitandao ya kijamii ya ‘Dah’ na Alikiba mwanamuziki Nandy ameweka wazi kuwa msanii kutoka nc...
Kama tunavyojua hakuna jambo kubwa kama kuwa hai, katika kuhakikisha uhai wao unaendelea, nyoka aina ya ‘Eastern hognose snake’ wanaopatikana zaidi Amerika ya Kusi...