Inawezekana ikawa ni ajabu lakini huo ndiyo utaratibu ulioko nchini Korea Kusini ambapo ikifika Februari 14, siku ya Valentine, wanawake ndio wanawapa wanaume zawadi tofauti n...
‘Klabu’ ya #PSG wamempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wao #KylianMbappe ikiwa ni katika njia ya kumzuia asiondoke kwenye dirisha lijalo kujiunga na ‘k...
Mwanaume mmoja kutoka pwani ya Praia Grande karibu na São Paulo nchini #Brazili, Michel 'Diabao' Praddo (47) maarufu kama ‘Shetani wa Kibinadamu’ amevu...
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...
Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.Imeripotiwa...
Kampuni ya muziki kutoka nchini Marekani ‘Sony Music’ imeripotiwa kununua asilimia 50 ya nyimbo za marehemu Mfalme wa Pop Michael Jackson.Dili hilo limekamilika kw...
Kampuni ya Skyted imezindua barakoa ya kidijitali ambayo inaweza kumruhusu mtumiaji kufanya mazungumzo ya siri hadharani bila ya watu wengine kusikia.Barakoa hiyo iliyopewa ji...
Kwa mujibu wa ‘Huduma ya Umoja wa Ulaya ya Kubadilisha Tabianchi ya Copernicus’ kufuatiwa na ripoti yake iliyotolewa hivi karibuni imeeleza kuwa Januari 2024 ndiyo...
Kampuni inayohusika na utengenezaji wa Ice Cream kutoka nchini Japan ya Cellato imetengeneza ice cream ya bei kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Byakuya’, inayogharimu d...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #Drake ameendelea kuonesha uugwana kwa mashabiki zake na sasa amemkabidhi shabiki aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya saratani dola ...
Bibi wa miaka 79 anayefahamika kwa jina la Luisa Yu mzaliwa wa Ufilipino,ametimiza ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani kama alivyokuwa akitamani.Bibi huyo amekuwa na ta...