Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, #OtileBrown, ametoa orodha ya nyimbo 11 zilizopo kwenye albamu yake mpya 'GRACE', inayotarajiwa kutoka Februari 23, 2024.
Ndani ya albamu hiyo...
Baada ya ugawaji wa Tuzo kubwa za Grammy kuwatosa Ma-staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, mashabiki kutoka nchini humo wamechukizwa na kitendo hicho na kuamua kui-report 'aka...
Baada ya dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion kutoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo Desemba mwaka jana, kwa kuwe...
Aliyekuwa mwanamuziki wa nyimbo za #Raggae kutoka nchini Jamaica #AstonBarrett, maarufu kama ‘Family Man’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77.
Mwanamuziki hu...
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya #Barcelona na #PSG, #DaniAlves anatarajia kufikishwa Mahakamani leo Jumatatu, Februari 5,2024 mjini Barcelona kwa tuhu...
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limetangaza kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itafanyika kwenye Uwanja wa #MetLife unaochukua mashabiki 82,500 katika mji wa East ...
Kutokana na utafiti uliofanywa mwaka jana na kituo cha Pew Research, umegundua kuwa karibia nusu ya vijana wote nchini Marekani walio na umri kati ya miaka 18 hadi 29 ba...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #Drake akiwa katika onesho lake la ‘Its All a Blur- Big as the What’ siku ya Jumamosi nchini humo aliwaeleza mashabiki w...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jay-Z amewapa makavu #Grammy kwa kutowahi kumpa #Beyonce tuzo kubwa ya album ‘Of The Year’ licha ya kuwa msanii anayeongoza kuwa...
Peter Akaro
Dar es Salaam: Kama kuna kitu wasanii wa Nigeria walikuwa na uhakika nacho katika tuzo za 66 za Grammy 2024, ni kuondoka na ushindi mnono kutokana na kuchaguliwa k...
Wachezaji wa ‘klabu’ ya #Chelsea, #MoisesCaicedo na #EnzoFernandez wamefuta akaunti zao za X (Twitter) baada ya kupokea jumbe nyingi zilizokuwa na kaul...
Aliyekuwa mchezaji wa mpira wa kikapu NBA kutoka nchini Marekani #MichaeJordani ameweka rekodi ya kukusanya viatu vyake alivyo wahi kuvi vaa katika fainali ya sita za ‘T...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #AliKiba amesema kuwa wasanii wanaotaka kufanya kolabo naye wajitafute kwanza hata kama mwanamuziki ambaye yupo chini ya lebo yake.
Akizungumza mbel...
Kitamba cha aliyekuwa mwanamuziki wa Pop nchini Marekani #JimiHendrix ambacho alitumia kukivaa kichwani katika maonesho mbalimbali miaka ya 1960 chapigwa mnada wa tsh 100 mili...