Waswahili wanasema ‘asiefanya kazi na asile’ basi na mimi naendelea kuishi katika msemo huo, kama kawaida yangu lazima tukumbushane kuhusiana na masuala mazima ya ...
‘Rapa’ #SnoopDogg ameweka wazi kuwa hana baya na aliyekuwa Rais wa Marekani #DonaldTrump licha ya watu kuzusha kuhusiana na wawili hao kutokuwa sawa ambapo alidai ...
Baada ya kuachia ‘kolabo’ ya ngoma ya ‘Huu mwaka’ mwanamuziki #Rayvanny ameweka wazi kuachia filamu maalumu ya wimbo huo inayotarajiwa kutoka siku ya k...
Kwa kawaida ‘dansa’ na mwanamuziki wa #Bongofleva Chino Wanaman sio muongeaji lakini kwa hili ameamua kulia na wasanii ambao hawam-sapoti licha ya kipindi cha nyum...
Naam!! kama kawaida yetu tunakaribishana tena katika ulimwengu wa Fashion ili uweze kujua urembo na mitindo mbalimbali inayobamba kwa sasa katika fashion.
Leo katika fas...
Na Sute Kamwelwe
Wakati teknolojia ikizidi kukua siku hadi siku kampuni ya tajiri nambari mbili duniani Elon Musk iitwayo Neuralink imesema imefanikiwa kupandikiza kifaa...
Na Aisha Lungato
Ni matumaini yangu wazima wa afya, so tunandelea pale tulipoishia siku hizi waswahili tunasema hakuna kupumzuka, mpaka watuite matajiri, leo katika bias...
Hatimaye Dj Misso Misondo na wazee wa makoti wamefika kwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown.
Hii ni baada ya nyota huyo wa muziki ku-share video ya wazee wa makot...
Baada ya watumiaji wa simu za Iphone kushindwa kupakuwa (download) application mbalimbali nje ya App Store, hatimaye kampuni ya simu hizo imefanya mabadiliko.
Kampuni ya Apple...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #ChriseanRock amechora usoni tattoo yenye sura ya ex wake na mzazi mwenziye #Blueface ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, ka...
RAMADHAN ELIAS
KOLABO la Diamond Putnumz na Mr Blue ndio habari ya mjini kwa sasa. Wimbo ni 'Mapozi' humo ndani akiwemo pia Jay Melody. Inabamba kinoma huko kitaa.
Gemu ya Hip...
Kama kuna wasanii wengine wa Bongo Fleva wanaandikiwa nyimbo na kuzitendea haki, basi Nandy ni namba moja, hadi sasa ameandikiwa nyimbo zaidi ya 10 na wasanii wenzake zaidi ya...
Anaandika sana. Sioni mwenye uwezo huo kwa kizazi hiki. Anaandika mpaka kuandika kunamshangaa. Msikilize kwenye “Bakhressa”, “Kama Unamjua” ama rudi kw...