Usiku wa kuamkila leo msanii wa singeli Dulla Makabila alikuwa na show Yombo ambapo alimpandisha ‘stejini’ aliyekuwa mke wa Haji Manara, Rushaynah jambo ambalo lil...
Kama tunavyojua kila Binadamu huishi na kufanya ayapendayo, hivyo hivyo kwa Hikmet Kaya, aliyekuwa msimamizi wa Misitu ya Kituruki aliamua kubadilisha jangwa na kuwa msitu amb...
Baada ya wadau wa muziki kuchukizwa na kitendo cha msanii kutoka nchini Nigeria Ayra Starr kumpita Meneja na mama mzazi wa Burna Boy, Bi Bose Ogulu bila kumsalimia wakati wa s...
Ikiwa imepita siku moja tuu tangu mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo, kujibuwa ‘komenti’ na Rais Samia Suluhu Hassan, sasa ni zamu ya Mtangazaji Salama Jabir, amb...
Serikali Korea Kusini imeonya na kuzuia matumizi ya vifaa vya kutolea mabaki ya chakula kwenye meno ‘toothpicks’ kutokana na baadhi ya watu kuvikaanga na kuvila.Se...
Producer wa muziki nchini Geof Master ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye studio ya Tongwe Records amefariki dunia leo saa nne asubuhi kwenye Hospitali ya Saratani ya Ocean Ro...
Wanamuziki wanao ipeperusha Bendera ya #Nigeria #BurnaBoy, #Davido na mwanadada #Tems, wametajwa kuwania Tuzo za #NAACP kutoka nchini #Marekani.Orodha ya wasanii na vipengele ...
Huenda leo isiwe siku nzuri kwa mashabiki wa Liverpool baada ya ‘kocha’ wao Jurgen Klopp kutangaza kung'atuka ‘klabuni’ hapo baada ya msimu huu kumaliz...
Onyeabuchi Okafor ambaye ni mtoto wa kiume wa muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr Ibu na mtoto wa kike wa kuasili aitwaye Jasmine Okekeagwu, wamedakwa...
Diamond, Mr Blue na Jay Melody wamkosha Babu Tale kwenye wimbo wao mpya uitwao 'Mapozi' uliachiwa saa kumi zilizopita. Kupitia post ya Diamond kwenye mtandao wa Instagram amba...
Mwanamuziki wa Singeli nchini Dulla Makabila, ameendelea kujipakulia minyama kutokana na wimbo wake uitwao 'Furahi' kukamatia namba moja kwenye mtandao wa YouTube kwa zaidi ya...
Ikiwa zimepita siku chache tangu mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani, Kanye West kuonekana akiwaelekeza mapaparazi njia za kupata picha na video bora, sasa rapa...
Kwenye video ni mjisi aitwaye Gecko, ana sifa za kipekee ngozi yake inauwezo wa kutiririsha maji, yaani hailowi maji kabisa kitendo hicho humsaidia kupata fangasi na bakteria ...
Wanadiplomasia kutoka nchini Saudi Arabia wamevunja marufuku ya uuzwaji wa pombe nchini humo baada ya kufungua duka la kwanza la vinywaji hivyo, maalumu kwa Wanadiplomasia was...