01
Mark ajishusha kwa familia zilizoumizwa na mitandao
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya #Meta, #MarkZuckerberg ameomba radhi kwa familia zinazodai watoto wao waliathiriwa na maudhui ya mitandao ya kijamii. Zuckerberg ambaye anami...
01
Adidas kuuza mzigo wote wa Kanye
Kampuni inayojihusisha na utengenezaji wa vifaa vya michezo na mavazi ya Adidas kutoka nchini Ujerumani imetanganza kuuza bidhaa zote za Kanye West zilizopo ndani (stock). Hii...
01
Usher ampa shavu Burna Boy
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #BurnaBoy amepewa shavu na mwananuziki wa Marekani Usher kwa kushirikishwa kwenye albamu yake iitwayo ‘Coming home’ inayotarajiwa...
31
Rick Ross aonesha jeuri ya pesa
Ni wiki kadhaa tuu zimepita tangu ‘rapa’ #RickRoss kuweka wazi kutaka kujenga mjengo chini ya ardhi, na sasa ameendelea kuonesha jeuri ya pesa kwa kubomoa nyumba y...
31
Drake, Taylar, Adele, Tupac, Bieber ndiyo basi tena tiktok
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
31
Bruno hana baya, Abadilishana jezi na chocolate
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Newcastle, #BrunoGuimarães ameonesha uungwana kwa shabiki aliyempatia chocolate kwa kumpa ‘jezi’ aliyokuwa ameivaa baada...
31
Filamu ya Travis yageuka gumzo
Baada ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Travis Scoot kufanya vizuri kwenye muziki wa hip-hop, kwa kutoa ngoma kali kama vile ‘My Eyes’, ‘Butterfly Effect...
31
Mastaa waliowatungia nyimbo wapenzi wao
HIVI karibuni staa wa singeli Bongo, Dulla Makabila ameachia wimbo ‘Furahi’ kwa ajili ya aliyekuwa mke wake, Zaiylissa ambaye ameolewa na Haji Manara ikiwa ni miez...
31
Kilichojificha nyuma ya nyimbo za Linex zenye hisia
Na Aisha Charles Sura yake imejaa hisia kali kuwasilisha anachomanisha, anapofumbua mdomo wake kuimba mashairi yanayosisimua moyo,  huku akifumba na kufumbua macho kusisi...
31
Stephen Curry anavyoupiga mwingi kupata fursa, Kupitia mpira wa kikapu
Na Aisha Charles Naam! watu wangu kwa mara nyingine tena katika burudani tumekutana kupashana habari zinazobamba kwenye upande huu...
31
Awanyima watoto urithi, Awapa Mbwa na Paka
Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni...
31
Kuondoka kwa Klopp, Benitez adai kuna kitu
‘Kocha’ wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #Rafa Benitez amedai kuwa kuna kitu nyuma ya uamuzi wa ‘kocha’ Jurgen Klopp kuondoka kwenye &ls...
31
Travis amtunuku mfanya usafi maokoto
Kama ilivyokawaida kwa wasanii kutoka nchini #Marekani kuwathamini mashabiki zao na hii imetokea tena kwa ‘Rapa’ #TravisScott ambapo alitoa pesa kiasi cha dola 5,0...
31
Kaburi la Mama Megan kulindwa na polisi
Baada ya ‘rapa’ Nicki Minaj na #MeganTheeStallion kuingia katika bifu zito kuhusaina na Nicki kufanya mzaha na kaburi la mama mzazi wa Megan hatimaye inadaiwa kuwa...

Latest Post