25
Mondi na Blue wanajambo lao
Mwanamuziki wa hip-hop Mr Blue na nyota wa muziki Diamondplatnumz wanatarajia kuachia jiwe jipya leo Januari 25.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mondi ameweka wazi ujio wa jamb...
25
Xpend mbioni kuzindua gari inayopaa
Kampuni ya Xpend kutoka nchini China inatarajia kuzindua gari aina ya ‘AEROHT eVTOL’ ambayo inauwezo wa kupaa kama ‘Drone’, gari hiyo itakuwa na uwezo ...
25
Unamfahamu Paka pori
Kama umezoea kuona paka wafugwao majumbani fahamu kuwa kuna paka wa porini waitwao Kodkod, kwa jina la kisayansi hufahamika kama Leopardus Guigna.Paka hawa wadogo wa porini wa...
25
Wanaochangia earphone hatarini kupata fangasi za masikio
Dar es Salaam. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, kumekuwa na uzalishaji wa vitu vingi vyenye kurahisisha maisha ambavyo awali havikuwepo, huku wataalamu wa masuala hayo wak...
25
John Cena na mpango wa kustaafu mieleka
Mwanamieleka na muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani, John Cena ameweka wazi kuwa ana mpango wa kustaafu kucheza mieleka kabla hajatimiza miaka 50.Cena ameyasema hayo waka...
25
Wanaochanganya shisha na dawa za kulevya kukiona
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), imetangaza kuanza operesheni maalumu katika kumbi za starehe na ma-hoteli zenye Shisha ili kubaini wanaocha...
25
Aliyeahidiwa cherehani na Rais Samia afunguka
Unaweza kusema ni asubuhi ya kheri kwa Beatrice Mwalingo (28) fundi nguo ambaye amepewa ahadi ya kununuliwa cherehani na Rais Samia Suluhu Hassan.Hiyo ni baada ya dada huyo am...
25
Tems aanza mwaka kwa ushindi
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameendelea kuonesha makali yake katika kusukuma muziki kwenye mataifa mbalimbali, sasa ametangazwa mshindi kwenye Tuzo za Billboard Woma...
25
50 Cent awatolea povu wanaodai amekonda
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent amewatolea povu mashabiki ambapo wamekuwa wakimnanga kwenye baadhi ya picha anazo-post kufuatiwa na kupungua kwake uzito kwa ...
24
Manara afunga ndoa na Zaiylissa
Baada ya kudai kuwa ndao yake na mpenzi wake Zaiylissa, itakuwa ya siri hatimaye Haji Manara amefunga ndoa na muigizaji huyo siku ya leo Jumatato, Januari 24, 2024.Kupitia uku...
24
Manara akanusha kumpeleka Makabila polisi
Aliyekuwa msemaji wa #Yanga, Haji Manara amekanusha tetesi za mitandaoni kuhusiana na yeye kumpeleka msanii wa Singeli Dulla Makabila polisi. Akizungumza na Manaratv, Haji ame...
24
Lil Wayne afunguka Drake kuchukiwa na watu weusi
‘Rapa’ #LilWayne kufuatiwa na mahojiano yake aliyoyafanya na Podcast ya The Richard Sherman, ameweka wazi sababu zinazomfanya msanii mwenzake Drake kuchukiwa na wa...
24
Stars yaahidiwa bilioni 1.3 wakiipiga Congo
Wachezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya #TaifaStars na ‘benchi’ la ufundi wameahidiwa tsh 1.3 bilioni endapo itafuzu hatua 16 bora ya fainali za michuano ya Ko...
24
Kocha atimuliwa kisa timu kuondolewa AFCON
Chama cha mpira wa miguu nchini #Ghana kimemfukuza ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya Taifa #BlackStars, #ChrisHughton, baada ya kutolewa kwenye mashindano ya #...

Latest Post