‘Klabu’ ya #AjaxAmsterdam ya nchini #Uholanzi imefikia makubaliano ya kumsajili nahodha wa zamani wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JordanHenderson kwa mkatab...
Baada ya ku-share taarifa kupitia Instastory yake kuhusu kuwa single mwanamuziki Diamond, ametengua kauli hiyo kwa kueleza kuwa hayupo single bado anaendelea kula raha hubani....
Wanasema jinsi utavyopenda na kuitunza kazi yako ndivyo watu wengine wataiheshimu. Mfahamu Jideobi Chiamaka Favour mwanadada kutoka nchini Nigeria ambaye amewashangaza wengi k...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ametingisha mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiwa na meno ya ‘grills’ yenye thamani ya dola 850,000 saw...
Tazama mbwembwe za michael Jackson akitumbuiza wimbo uitwao 'I Want You Back'. Video hii alikuwa na umri wa miaka mitano.
Michael Jackson alizaliwa August 29, 1958 na kufariki...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Yemi Alade amefichua wimbo wake uitwao ‘Johnny’, ulitoka kimakosa, kwani haukupangwa kutoka kwa wakati huo.
Yemi wakati akifanya ...
Twiga pekee mwenye rangi mweupe duniani anapatikana Kaskazini Mashariki ya Kenya Garissa, amefungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mienendo yake ya kila siku ili kumlinda dhidi ...
Nyota wa Napoli na mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Nigeria, Victor Osimhen amefichua sababu za kutumia maski ya kuficha sehemu ya macho katika kila ‘mechi’.
Ku...
Rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ imesitisha taji la mbwa kutoka nchini Ureno aliyetambulika kwa jina la Bobi, ambaye alishika rekodi hiyo mwaka jana Feb...
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Ghana, aitwaye Patrick Amenuvor ameshindwa kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kusimama muda mrefu zaidi.
Amenuvor alianza kusimam...
Baada ya kurindima mahakamani kesi iliyofunguliwa na ‘rapa’ kutoka nchini Marekani P Diddy kwa kuishutumu kampuni ya vinywaji ya Diageo kwa ubaguzi wa rangi, hatim...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad kutoka nchini Saudi Arabia, Karim Benzema amemfungulia mashitaka Waziri wa Mambo ya Ndani Ufaransa Gerald Darmanin kwa kumchafuli...