15
Mambo ya kuzingatia unapotaka kuweka dreadlocks
Hellow!! vipenzi vyangu kama kawaida yangu lazima tukutane kwenye segment yetu pendwa ya Fashion ili kujuzana mambo mbalimbali kuhusu urembo na style tofauti tofauti za ndani ...
15
Bado hujachelewa anza mwaka na mambo haya
Kama ulivyo msemo wa vijana wengi mtaani kuwa mwaka mpya na mambo mapya, kama mnavyojua wiki hii na wiki inayofuata ndizo wiki ambazo watu wanarejea makazini huku wengine waki...
15
Mitandao ya kijamii ilivyogeuka mtaji kwa watu maarufu
Achana na wale ‘wanaofeki’ wenye kutumia pesa nyingi kwa ajili ya kununua ‘maroboti’ kwenye mitandao ya kuuzia muziki ili kazi zao zionekane zimepata w...
15
Kodak akiwa gerezani atuma zawadi kwa mpenzi wake
Licha ya kuwa gerezani ‘rapa’ kutoka nchini #Marekani, #KodakBlack amemfanyia surprise mama watoto wake kwa kutuma zawadi ya gari aina ya Range Rover na kiasi cha ...
15
Atembea kilomita 450 kwa miguu baada ya kugombana na mkewe
Mwanaume mmoja kutoka nchini Italy amewashangaza wengi baada ya kutembea kwa miguu maili 280 (450km) kutoka mji wa Como hadi mji wa Fano, ambao ni sawa na umbali wa Dar es Sal...
15
Mchoro wa bei ghali, Uliuzwa zaidi ya 116 bilioni
Mchoro huu ulichorwa mwaka 1954 na mchoraji kutoka nchini Marekani aliyeitwa #MarkRothko, ukauzwa mwaka 2015 kwa Dola 46.5 milioni ambazo ni zaidi ya tsh 116 bilioni. Mchoraji...
15
Mama akimsimulia mwanaye mwenye ulemevu wa macho mechi inavyoenda
Unakumbuka hii mwaka 2019 mama mmoja aitwaye Silvia Grecco kutoka nchini Brazil alijizolea umaarufu baada kamera kumnasa akimsimuli mwanaye mwenye ulemavu wa macho mechi iliyo...
14
Ifahamu kazi ya uwazi uliyopo kwenye mfuniko wa peni
Wapo baadhi ya watu ambao wakati wa kutumia peni hupendelea iwe  na kifuniko  chake, huku sababu kubwa ya kutaka kiwepo wanadai peni inakuwa nzito hivyo inawapa urah...
14
Sancho aonesha makali yake Dortmund
Baada ya kuwa na wakati mgumu katika maisha yake ya ‘soka’ aliyekuwa winga wa #ManchesterUnited #JadonSancho ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo #BorussiaDortmund a...
14
Diddy kutoshiriki tuzo za Grammy 2024
Rapper kutoka nchini Marekani #PDiddy ameripotiwa kuwa hatoshiriki katika Tuzo za Grammy mwaka 2024 kufuatia na kesi nyingi zinazo mkabili licha ya kuteuliwa kuwania Tuzo kati...
14
Momoa afunguka kutokuwa na makazi maalum
Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani #JasonMomoa amefunguka hali yake ya maisha kutokuwa na makazi maalum huku akidai kuwa hajali kabisa kukosa nyumba ya kuishi. Muigizaji...
14
Anayedai mchepuko wa beki wa Man City ajitokeza na mtoto
Anayedaiwa kuwa mchepuko wa mchezaji wa #MchesterCity, #KyleWalker, amejitokeza akiwa na mtoto anayedaiwa kuwa ni wa Walker, baada ya mke wa beki huyo #AnnieKilner kutangaza k...
14
Wachezaji wapigwa na radi, Mechi yaghairishwa
‘Mechi’ kati ya ‘timu’ ya vijana wanawake #InyemeraWFC na #RamburaWFC nchini Rwanda imeghairishwa baada ya radi kupiga katika uwanja wa Gicumbi na kusa...
13
Ikibidi Harmonize ashushe pini kila wiki
Hii nimeisikia kwa watu kadhaa kitaani. Kwamba Konde anatoa 'traki' mfululizo. Eti hii inaweza kufanya akachokwa fasta kama ilivyotokea kwa Aslay. Tukiacha hizi hisia ziendele...

Latest Post