11
Safari ya AFCON yaingia doa, Wakosa hewa kwenye ndege
Wachezaji na wafanya kazi wa ‘Timu’ ya Taifa #Gambia wakosa hewa walipokuwa kwenye ndege wakielekea Ivory Coast katika mashindano ya AFCON 2023. Inaelezwa kuwa wac...
11
Mwanasoka wa zamani adai ana mwaka mmoja wa kuishi
‘Meneja’ wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uingereza, Sven-Göran Eriksson ameweka wazi kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani huku akidai kuwa amebakiza...
11
Baba yake Mohbad adai kutishiwa maisha na mkwewe
Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua...
11
Kijana wa miaka 13 apata shavu Louis Vuitton
Kijana wa miaka 13 aitwaye Milan amepata fursa ya mafunzo kwa vijana chini ya miaka 18 katika kampuni ya Louis Vuitton baada ya kusambaa kwa michoro aliyoichora ya ubunifu kwe...
11
Beki wa Man City abwagwa na mkewe
Mke wa mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterCity #KyleWalker, #AnnieKilner ametangaza kutengana na mume baada ya kudumu kwa miaka miwili kwenye ndoa. Kwa mujibu wa Th...
11
Chris Brown amtolea povu shabiki
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #ChrisBrown amjia juu shabiki aliyesema kuwa hataki mwanaume aliyezaa na mwanamke zaidi ya mmoja. Hii inakuja baada ya Brown ku-share picha...
11
Adaiwa kuvunja rekodi kwa kupika masaa 227
Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aitwaye Chef Faila anadaiwa kuipiku na kuvunja rekodi ya Alan Fisher kwa kupika masaa 227. Aidha mwanamke huyo anasubiri uthibitisho kutoka ...
10
Wasiojulikana wavamia chombo cha habari
Watu wasiojulikana wanaodaiwa kuwa majambazi wamevamia Television ya serikali nchini Ecuador siku ya jana Jumanne na kuwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliokuwa wak...
10
Saudia hawana ubahili kwenye soka
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
10
Sababu School Bus kuwa na rangi ya njano
Si jambo la kushangaza kama ukitembelea mataifa mbalimbali na kukuta magari ya kubebea wanafunzi (School Bus) yakawa na rangi ya kufanana, yaani rangi ya njano. Fahamu kuwa ra...
10
Staa wa x-men, Casto afariki dunia
Muigizaji na mwanamuziki kutoka nchini Mexico #AdanCanto aliyefahamika zaidi kupitia filamu yake ya ‘X-Men: Days of Future Past na Agent Game’ amefariki dunia akiw...
10
Davido kuchunguzwa
Jeshi la Polisi nchini Nigeria limeanza uchunguzi dhidi ya mkali wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumpa vitisho na kmufanyia ukatili wa kimwili, msanii mwenzie #TiwaSa...
10
Dragusin aielewa Tottenham
Mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Genoa, #RaduDragusin amefikia makubaliano ya kwenda kukiwasha katika ‘timu’ ya #TottenhamHotspur. Kwa mujibu wa Sky Sports ...
10
ASAP Rocky akanusha shutuma zinazomkabili
Baada ya kukabiliwa na mashtaka mawili moja likiwa kumshambulia mmoja wa wafanyakazi katika kundi lake la ‘ASAP Relli’ kwa bunduki, ‘rapa’ Asap Rocky a...

Latest Post