Mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad kutoka nchini Saudi Arabia, Karim Benzema amemfungulia mashitaka Waziri wa Mambo ya Ndani Ufaransa Gerald Darmanin kwa kumchafuli...
Kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii Bongo kutikisa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kutokana na ngoma za wasanii wengine kwa kuzifanyia cover, ndivyo ilivyotokea kwa kijana...
Bibi harusi kutoka nchini Mexico aitwaye Nancy N amekamatwa na polisi siku ya harusi yake kwa tuhuma za unyang’anyi.
Nancy N alikamatwa wakati alipokuwa akishuka kwenye ...
Chef Peter Lammer ni mpishi maarufu kutoka nchini Ujerumani ambaye alipata ajali ya pikipiki mwaka 2010 akiwa na umri wa miaka 44 ambapo baada ya kupatiwa matibabu ya muda mre...
Nchini Dubai ukipiga picha watu waliojeruhiwa au miili ya watu waliofariki katika ajali ni kosa linaloweza kusababisha kifungo cha miezi sita jela na faini ya tsh 100 milioni,...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #MeekMill amefunguka kuwa kazi za wafungwa wakiwa gerezani huwa ni nyingi sana kuliko malipo wanayopata nchini humo.
‘Rapa’ huyo...
Meya wa jiji la Miami Francis Suarez na Mbunge Frederica Wilson kutoka nchini Marekani siku ya Jana, Januari 15 wamemkabidhi ‘Rapa’ Rick Ross ufunguo wa jiji la Mi...
Baada ya kuwa mchezaji aliyetafuta zaidi kupitia mitandao ya kijamii katika nchi mbalimbali kwa mwaka 2023 na sasa mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na &lsq...
Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.
Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo...
‘Klabu’ ya #Yanga imefikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba na mchezaji #JesusMoloko raia wa #Congo.
Kupitia ukurasa wa #Instagam Yanga imeeleza k...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini #ChidiBeenz ameonesha kutofurahishwa na watu wanaomtafsiri vibaya kuwa kila anapoongea wanadhani ni madawa ya kulevya, ndiyo yanafanya aongee huk...
Niaje niaje, wiki ya kuchakarika ndiyo imeanza, huku hatujamaliza ada huku kodi, kule bill zingine, unalipaje mahitaji yote hayo, jibu ni kujishughulisha, na kama kawaida yetu...