24
Makabila amewasili kituo cha polisi Oysterbay
Baada ya kuzuka tetesi kuhusina na mwanamuziki wa Singeli nchini Dulla Makabila kufunguliwa mashitaka na aliyekuwa msemaji wa ‘klabu’ ya Yanga Haji Manara na mchum...
24
Bongo Zozo awatolea povu wasioungana na Stars
Aliyeteuliwa kuwa muhamasishaji wa #TaifaStars katika mashindano ya #AFCON, #BongoZozo amewatolea povu Watanzania wanoshindwa kuungana na ‘timu’ ya Taifa Stars kat...
24
Chris Brown awajia juu wanaohoji kukaa na Quavo
Mwanamuziki Chris Brown amewajia juu mashabiki ambao wamekuwa wakihoji kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumuona akiwa amekaa pamoja na #Quavo katika onesho la ‘Fashi...
23
Utani wa Diamond, Innossb kuhusu timu za taifa
Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa mwisho wa kundi F kupitia michuano ya #Afcon unaotarajiwa kuchezwa kesho kati ya Congo dhidi ya Tanzania wanamuziki Diamond na...
23
Kiti cha muundo wa nge, maalum kwa wanaobeti
Kampuni ya Cluvens imetoa kiti cha ‘teknolojia’ chenye muundo wa Nge kiitwacho ‘Scorpion Computer Cockpit’ kwa dhumuni la kuwarahisishia watumiaji wa k...
23
Walimu waondoa vioo vya chooni, baada ya wanafunzi kujirekodi
Shule ya Southern Alamance iliyopo Carolina nchini Marekani, imelazimika kuondoa vioo vyote katika vyoo vya wanafunzi kwa lengo la kuwazuia ku-rekodi video za TikTok muda wa d...
23
Mtoto atolewa Screw kwenye mapafu
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanikiwa kumtoa mtoto 'Skrubu' (Screw) kwenye mapafu yake kwa kutumia kifaa chenye kamera. Inaelezwa kuwa mtoto huyo alikua akiichezea mdomoni ...
23
Aliyezikwa hai alamba dili Amazon Prime video
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, hatimaye amelamba dili nono k...
23
Alabama kuzindua kitanda cha kutolea adhabu ya kifo
Jimbo la Alabama nchini Marekani linatarajia kuzindua kitanda maalumu ambacho kitatumika kutolea adhabu ya kifo ambayo iliithinishwa tangu mwaka 1982. Hii ni baada ya jaribio ...
23
Manara: Zaylissa akinisaliti namfukuza
Aliyekuwa Afisa habari wa ‘klabu’ ya #Yanga #HajiManara amedai kuwa mke wake mtarajiwa #Zaiylissa akifanya makosa yoyote atamsamehe isipokuwa kosa la kumsaliti&nbs...
23
Baraka The Prince kurudi darasani, Amtaja Diarra wa Yanga
Ukifanya kazi nzuri inavuta wengine kujifunza je, unataka kuamini hilo, hiki ndicho alichokisema msanii wa #Bongofleva, Baraka the Prince, kuhusu kipa wa Yanga, #DjiguiDiarra ...
23
Shabiki aliyemuita Kipa nyani afungiwa
Shabiki anayedaiwa kufanya ubaguzi wa rangi kwa ‘golikipa’ wa ‘klabu’ ya #ACMilan, #MikeMaignan amefungiwa kutohudhuria katika viwanja vyote vya soka v...
23
Watumiaji tovuti za Mwananchi kuchangia fedha kidogo kusoma baadhi ya habari
Mhariri Maudhui Mtandaoni wa wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Zourha Malisa amesema kupitia mabadiliko yanayo...
23
Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi
Dar es Salaam. Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Victor Mushi amesema lengo la kuweka nguvu katika uzalishaji wa maudhui mtandaoni ni...

Latest Post