Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Rayvanny kwenda na upepo wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wanao-hit, #Van...
Mwanamuziki kutoka nchini Africa Kusini Tyla ambaye anaendelea kuupiga mwingi kupitia wimbo wake wa ‘water’ ametaja wasanii na album zinazo muhamasisha zaidi ikiwe...
Meli kubwa zaidi Duniani inayoitwa ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ tayari imewasili jijini Miami nchini Marekani ikitokea Finland ambapo ndipo ilipoteng...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria anatarajiwa kutumbuiza katika sherehe za kuelekea Tuzo za Grammy, inayotarajiwa kufanyika Februari 2, nchini #Marekani.Huku wasanii wengine ...
Baada ya kuweka wazi kuhusiana na kubakiza muda mchache wa kuishi ‘kocha’ wa zamani wa ‘timu’ ya Taifa ya England Sven-Goran Eriksson ameachia list ya ...
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West amemfunguliwa mashitaka na shabiki aitwaye Justin Poplawski (40) na kudai kuwa alishambuliwa na msanii huyo mwaka...
Mama mzazi wa mwanamuziki wa #Bongofleva nchini #Diamond, Mama Dangote ameeleza kuwa hatambui kama #Zuchu na mwanaye kama wako kwenye mahusiano.Mama Dangote ameyasema hayo wak...
Kampuni ya Apple, imetangaza bidhaa yake mpya iitwayo ‘VisionPro’ ambayo inamuonekano wa miwani, ambayo inauwezo wa kutumika kama Kompyuta, kutazama movie, kusoma ...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria aitwaye John Amanam, amewashangaza wengi kupitia mitandao ya kijamii kutokana na ubunifu wake wa kutengeneza viungo bandia vya ngozi nyeus...
Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Burnaboy anaendelea kuvuka boda kwa kufanya ‘kolabo’ na wasanii mbalimbali katika mataifa makubwa, na sasa ameshirikishwa...
Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe.
Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mchezaji wa Manchester United, Jadon Sancho kurudi kwenye ‘timu’ yake ya zamani kwa mkopo hatimaye ‘klabu’ hiyo ya ...