Wimbo wa mkali wa #Afrobeat kutoka nchini #Nigeria #Davido aliomshirikisha #MusaKeys ‘Unavailable’ unaendelea kuupiga mwingi na sasa umefikia hadhi ya #Silva jijin...
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa watumiaji wengi wa WhatsApp yakihusisha akaunti zao za mtandao huo kufungiwa bila ya wao kujua chanzo. @mwananchiscoop tunakujuza sababu zita...
Mwanamuziki wa hip-hop Nay Wa Mitego amewataka vijana ambao bado wako kitaani kuacha kutamani maisha ya Ma-star.Nay ameyasema hayo kupitia Instastory yake kwa kuwashauri vijan...
Mbwa mmoja kutoka Pennsylvania aitwaye Cecil, amezua gumzo baada ya kutafuna bahasha iliyokuwa na hela $4,000 ambazo mmiliki wake alikuwa ameziweka kwa ajili ya kumlipa mkanda...
Ulimwengu wa wapenda michezo baadaye utashuhudia tukio la kuachiwa huru kutoka gerezani mwanariadha wa zamani wa mbio fupi, Oscar Pistorious, raia wa Afrika Kusini.Nyota huyu ...
Nyota wa ‘klabu’ ya Al Nassr FC kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameibuka kidedea kwa kushinda Tuzo ya Maradona kutoka Globe Soccer kama mfungaji bora kwa mw...
Moja kati ya wanyama wafugwao majumbani ni paka, huku wengine wakiwatumia kwa ajili ya kumaliza panya na wengine huwafuga kwa kupenda tu.
Kati ya vitu ambavyo humpa paka muone...
Suruali ya jeans ni kati ya vazi linalopendwa sana mtaani, lakini kama umewahi kulichunguza vazi hili lazima utakuwa umekutana na kifuko kidogo kilichopo juu ya mfuko mkubwa, ...
Rais wa ‘klabu’ ya #YangaSC na mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng Hersi Said amekutana na Rais wa ‘klabu’ ya Paris Saint-Germain (PSG) ya #Ufarans...
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Senegal, na ‘klabu’ ya #AlNassr #SadioMane, amejenga uwanja wa mpira wa miguu katika kijiji alichozaliwa cha Casamance, Ku...
Baada ya mashabiki na wadau wa muziki kupitia mtandao wa kijamii wa X (twitter) kumtania mkali wa #Afrobeat #Davido kuwa anasauti kama ya chura, #Davido ameamua kukubaliana na...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki wa #Bongofleva #Platform kuwa kwenye mahusiano na mwanadada #Munalove, hatimaye #Platform amekanush...