Aliyekuwa muigizaji kutoka nchini Uingereza Tom Wilkinson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake ikieleza kuwa nyota huyo w...
Filamu maarufu ya Barbie iliyoongozwa na Greta Gerwig imevunja rekodi kwenye kuingiza maokoto mwaka 2023 kwa kupata zaidi ya dola 1.4 bilioni kupitia mauzo yake duniani.Barbie...
Wanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce na Taylor Swift ndiyo wasanii waliofanikiwa zaidi kwa mwaka 2023 kutokana na ziara zao walizozifanya na kuwapatia maokoto ya maana.Zi...
‘Rapa’ Cardi B kutoka nchini marekani ametishia kufuta urafiki na mashabiki wake na kufuta akaunti zake zote za mitandao ya kijamii baada ya mashabiki hao kudai ku...
Ikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kuachi orodha ya filamu zilizomkosha kwa mwaka 2023, sasa ameshusha mkeka mwingine wa ngoma anazozikuba...
Mbunifu maarufu kutoka nchini Marekani Imran Potato mwezi Novemba mwaka huu alizindua viatu vyenye muundo wa panya ambavyo vinapatikana kwenye tovuti yake kwa bei ya dola 75K ...
‘Rapa’ na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani Kanye West ametangaza kuachia rasmi viatu vyake alivyovipa jila la ‘Yeezy pods’ vyenye thamani ya dola ...
Mwanamuziki kuutoka nchini #Nigeria #NairaMarley kwa mara ya kwanza ame-post kwenye ukurasa wake wa Instagram tangu atoke mikononi mwa polisi.
Naira alikuwa akika...
Baada ya uchunguzi kufanyika kuhusiana na kifo cha shabiki kilichotokea katika show ya mwanamuziki #TaylorSwift nchini #Brazil imebainika kuwa shabiki h...
Kijana mmoja ambaye ni shabiki wa Arsenal ameonekana akimwaga machozi kutokana na ‘klabu’ anayoshabikia kuchapwa na #WesthamUnited bao 2-0, huku ikiwa ni mara ya k...
Muandaaji wa content kupitia mtandao wa YouTube aitwaye Paulo Cezar Goulart Siqueira (PC) kutoka nchini Brazil anadaiwa kuuawa kisha mwili wake kukutwa kwa mpenzi wake wa zama...
Ikiwa zimebaki siku mbili kuumaliza mwaka 2023, dada wa nyota wa muziki Diamond, Esma Platnumz amefunguka na kuweka wazi kuwa mwaka huu umemfanya awe imara zaidi kutokana na y...
Beki wa ‘klabu’ ya Liverpool Virgil Van Dijk amefichua maisha aliyopitia kabla ya kuwa mchezaji mkubwa, amesema kipindi ana miaka 17 aliwahi kufanya kazi ya kuosha...
Baada ya ‘klabu’ ya #NewcastleUnited kupokea kipigo cha bao 3-1 dhidi ya #NottinghamForest, mchezaji wa zamani wa Newcastle #AlanShearer ameishauri ‘klabu&rs...