Kila ifikapo Disemba 26, dunia husherehekea sikukuu ya ‘boxing day’ ambayo mara nyingi huenda sambamba na kutoa na kupokea zawadi.
Na huwa inafanyika siku ya pili ...
Wakali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Asake na #Davido waiibua shangwe kwa mashabiki wakati wakitumbuiza katika tamasha la Flytime Festival.
#Asake alimpandisha jukwaani ...
Promoter wa ndondi kutoka nchini #Uingereza, #FrankWarren amejaribu kumshawishi mchezaji wa #Alnassr, #CristianoRonaldo kwenda katika ‘klabu’ ya #Arsenal.Inaelezwa...
Licha ya wanamuziki kutoka nchini Marekani Cardi B na mumewe Offset kugombana huku kukiwa na tetesi za wao kuachana kutokana na usaliti unaoendelea baina yao, lakini wawili ha...
Utafiti wa ubongo wa mbwa uliofanya kwa njia ya vipimo vya MRI na Chuo Kikuu cha Emory umebaini kuwa mbwa hunasa haraka harufu ya binadamu kuliko harufu nyingine, hivyo unaone...
NASA imenasa picha ya Miti ya Chrismas inayojulikana kitaalamu kama NGC 2264, iliyoko takribani miaka 2,500 kutoka Duniani. Muonekano wa miti hiyo inatokana na nyota ndogo na ...
Tetesi zinaeleza kuwa ‘klabu’ ya Paris Saint -Germain (PSG) inampango wa kumpa mkataba na kumfanyia vipimo vya Afya mchezaji wa ‘klabu’ ya #SaoPauloFC,...
Nchini India ukiwa mwizi sana unaitwa ‘Natwarlal’, kwa sababu ni jina la mwanaume mmoja kati ya wezi wakubwa kuwahi kutokea kwenye nchi hiyo.
Kwa mujibu wa t...
Mwanamuziki kutoka nchi Marekani, #KanyeWest kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2023 uanze leo ameweka post katika mtandao wake wa Instagram, upande wa insta story.
Ms...
Meneja wa ‘klabu’ ya #Liverpool, #JurgenKlopp amethibitisha kuwa beki wao #KostasTsimikas atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kugongwa kwenye bega na win...
Baba wa aliyekuwa mwanamuziki marehemu #AmyWinehouse amewafungulia mashitaka marafiki wawili wa mtoto wake kwa kuuza mali za mwanaye kwa kutumia majina yao mwaka 2021.
&...
Msanii wa #Singeli #ManFongo aeleza kilichofanya akae kimya kwa muda mrefu huku akidai ni kufichwa na management yake mpya kwa ajili ya kujipanga kwa ujio mpya katika mu...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa
Inaelezwa kuwa polisi walimf...