19
Teni alipwa zaidi ya 170 milioni kutumbuiza kwenye harusi
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Teni adaiwa kulipwa zaidi ya milioni 170 kutumbuiza katika harusi ya mtoto wa bilionea Beninoise, Haija Rissi Razaq Igue. Kwa mujibu wa Legit...
19
Shangwe la bibi yake Burna Boy baada ya kupewa zawadi
Tazama shangwe la bibi yake Burna Boy mzaa mama baada ya kupewa zawadi ya pochi ya thamani aina ya ‘Birkin bags’.  Tukio hili limeibua hisia nyingi kupitia mi...
19
Aliyeshikilia rekodi ya kuwa na kucha ndefu afariki
Mwanamama kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina la Lee Redmond ambaye alikuwa akishikilia rekodi ya Guinness World Records kwa kuwa na kucha ndefu zaidi afariki dunia....
19
Ada ya mtoto yamtokea puani muigizaji wa Family matters
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #DariusMcCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni. Nyota huyo wa #FamilyMatters mwenye ...
19
Matatizo ya misuli yamtesa Celine Dion
Dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion ametoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo kwa kuweka wazi kuwa kwa sasa Celine...
19
Nyani wamchana masikio rapa Swaelee
‘Rapa’ kututoka nchini Marekani, #Swaelee amesema kuwa hatoweza tena kuvaa hereni masikioni kwa sababu nyani wake walimchana masikio na kutoa hereni alizokuwa amev...
19
Bien atolewa machozi na mama yake
Mama mzazi wa mwanamuziki kutoka nchini Kenya Bien, amemfanyia surprise mwanaye, baada ya kupanda jukwaani alipokuwa akitumbuiza katika show yake ya kwanza tangu atoe albumu y...
18
Lunya, Nandy, Zuchu na Mbosso wamkosha Babu Tale
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa msanii Diamond, Babu Tale ameachia rasmi list ya wasanii waliomkosha kwa mwaka 2023.Babu Tale kupitia ukurasa wake wa Instagra...
18
Unavyotumia muda mwingi na mama yako ndivyo anaishi zaidi
Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha California, San Francisco unaonesha kwamba kutumia muda zaidi na wanafamilia wazee, hasa mama yako, kunaweza kumuongezea maisha marefu zaidi. Uta...
18
Aliyezikwa hai siku saba akiandaa maudhui, Aibuka na tukio jingine
Muandaaji maudhui kwenye mtandao wa #YouTube kutoka nchini Marekani Mr Beast baada ya video yake akiwa amezikwa hai kwa siku 7 kufanya vizuri kwenye mtandao YouTube, sasa amef...
18
Mwili wa kijana mwenye miaka 19 wavunja rekodi ya Schwarzenegger
Mtunisha misuli Anton Ratushnyi mwenye umri wa miaka 19, amevunja rekodi ya muda mrefu iliyokuwa ikishikiliwa na Arnold Schwarzenegger, na kuwa mtunisha misuli mwenye umri mdo...
18
Mtu mfupi zaidi duniani
Afshin Esmaeil Ghaderzadeh raia wa #Iran kwa sasa ndiye anashikilia rekodi ya kuwa mtu mfupi zaidi duniani kwa mujibu wa kitabu cha rekodi ya dunia ya Guiness. Ghaderzadeh mwe...
18
Uchafu wa kwenye simu umezidi wa chooni
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kuwa karibu na simu zao za mkononi kila mahali waendapo, na inaelezwa kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watu duniani wanamiliki au kutumia simu j...
18
Mali za Tekashi zatakiwa kupigwa mnada kulipa fidia
Rapa kutoka nchini #Marekani, #Tekashi6ix9ine atalazimika kuuza mali zake za thamani ili kulipa faini ya dola 9.8 milioni, ambazo ni zaidi ya tsh 24 bilioni, kufuatia uamuzi w...

Latest Post